Yametimia.kagasheki kajiuzuru
Waziri wa Maliasiri na utalii atangaza kujiuzuru rasmi akiwa ndani ya bunge.
Asema yeye ni mtu mzima na kasikia mengi, kateuliwa na rais kwa matakwa ya rais na hakuomba hivyo ana resign.
Lete maneno mkuu,maana wengine tupo mbali kidogo!
Lete maneno mkuu,maana wengine tupo mbali kidogo!
Huyu mathayo anachelewa mbona
Mbona kama anataka kukwepa?
maamuzi magumu
Mbowe anasubiri nini..?
Huyu mtani wangu amefanya uwamzi mzuri. Hii wizara hakuna Waziri atakaemzidi kagasheki kwa kujaribu kuzuia ujangili. Lililo wazi ni kwamba hii Wizara ni shamba la CCM. Anaejaribu kuziba mianya ya ujangili hawezi kudumu.Waziri wa Maliasiri na utalii atangaza kujiuzuru rasmi akiwa ndani ya bunge.
Asema yeye ni mtu mzima na kasikia mengi, kateuliwa na rais kwa matakwa ya rais na hakuomba hivyo ana resign.