Waziri Jafo atangaza wiki moja ya "nyungu" season 3

Nyungu imewaponza wengi,haisaidii chochote.
Tufuate njia tunazoshauriwa na wataalam
 
Huyu mangwinji alikuwa anatoa haya matamko yake kama waziri wa nini? Maana yeye alikuwa TAMISEMI, mambo ya nyungu ni masuala yanayoangukia wizara ya afya, unajua wakati mwingine ilikuwa ngumu sana hii serikali ya Kayafa.

Halafu alikuwa anatupuuzisha huku anashindwa kusimamia wizara yake. Nashindwa kuelewa kwa nini mpaka leo yupo na matamko kila siku hakuna hatua anayochukua.

Halafu siku ya mazishi kinaonekana kimevaa barakoa nyeusi kama ametafuna kunguru wa Zanzibar.
 
Waziri mzima anapikia mkaa. Unatarajia nini kutoka kwake.
 
Nchi ilikua inaliwatu na jamaa zake wakurugenzi. Anawasifiatu. Aende upande wa pili na msufuria wake akaongezewe karafuu hata akitaka na shombo la samaki ili nyungu iwe kali zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…