johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,149
Ukweli ndio huo.
Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.
Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.
Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.
Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
In theory yes. Lakini kwenye uganga njaa wa bongo TFF inaingiliwa vizuri tu na serikali, tena yenyewe inajipeleka ili ikaingiliwe.
Ndugu popote ulipo! Serikali ipo wether kikazi au kimaisha hata kiutani. Hizo zingine eti Fifa ni maandishi tuuu. Muulize edgar tenga au Karia kuwa waliupataje urais wa TFF! Kama wakikupa jibu la ukweli! njoo nikupe mke wangu , ukae naye siku sita.In theory yes. Lakini kwenye uganga njaa wa bongo TFF inaingiliwa vizuri tu na serikali, tena yenyewe inajipeleka ili ikaingiliwe.
Bashungwa ni moja ya mawaziri mizigo,mama karithi baadhi ya vimeo hiki ni kimojawapo hakikaUkweli ndio huo.
Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.
Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.
Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.
Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
Ukweli ndio huo.
Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.
Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.
Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.
Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
Tena kinyume na maumbile sorry kinyume na kanuni na taratibu.In theory yes. Lakini kwenye uganga njaa wa bongo TFF inaingiliwa vizuri tu na serikali, tena yenyewe inajipeleka ili ikaingiliwe.
Ataachaje kufuata maelekezo ya serikali wakati Tff yenyewe inaendeshwa kisiasa?!!Ukweli ndio huo.
Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.
Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.
Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.
Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
Propaganda tu hizi!Je hili lina ukweli..?
View attachment 1777903
Kuna mechi na kuna derby elewa hilo kwanza kanywe uji urudi hapa.mikia fc weweJe hili lina ukweli..?
View attachment 1777903
Alooh ina maana hakuna ukweli hapo..?Propaganda tu hizi!
Mbona umepaniki mkuu.Kuna mechi na kuna derby elewa hilo kwanza kanywe uji urudi hapa.mikia fc wewe
We bwege ulishawahi kuwa na akili hapa JF?Ukweli ndio huo.
Waliobadilisha muda wa mechi ni TFF wenyewe siyo waziri Bashingwa.
Serikali haiingilii mambo ya soka kwa mujibu wa kanuni za FIFA.
Kwahiyo haiwezekani kabisa Rais wa TFF akaahirisha mechi kwa maagizo ya kisiasa.
Tatizo viongozi wote wa TFF ni wanazi wa Simba so hawatumiagi sana akili wao ni unazi tu!
HahaTulikibali Ila tumechoka kupelekeshwa