#COVID19 Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

Baada ya askofu Gwajima kukamatwa na Takukuru ni vema akahojiwa na jopo la wanasayansi ili baada ya hapo mjadala ufungwe rasmi tuendelee na majukumu mengine

Mungu ni mwema wakati wote!
Hahitaji hata jopo

vijana wawili watatu tu wa Muhas wanatosha

Tatizo Yule shabiki mandazi wa uongo
 
Misimamo inaweza kukuweka sehemu pabaya.
Misimamo ya Daniel ilimfanya atupwe ndani ya shimo la Simba wenye njaa kali lakini kwa uwezo usiofikirika kwa akili za kibinadamu alitoka salama.
 
Tuanze hapa

Ukipata chanjo unaweza kuugua/kuambukizwa uviko au huwezi?

Kama UNAWEZA kwanini unachanja; Kama HUWEZI naomba twende swali la pili
Unaweza kupata na chanjo sio kigezo cha kutopata isipokuwa madhara yake hata ukipata si makubwa kama ukiwa huna chanjo!
 
Wanataka kukata tawi lote, kisha kulichoma. Walikate tu wasilichome kwa sababu matunda yaliyo kwenye tawi hilo yameishakomaa na mbegu zake zaweza kusaidia kuotesha miche mingine ya mti huo.

Chonde chonde msikate na kuchoma tawi hilo! Mkitumia jicho la tatu mwaweza kung'amua kuwa hakuna haja ya kukata tawi hilo achilia mbali kuwaza kulichoma.
nahisi hawajakuelewa..:)
 
Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji. Mimi ndiye msemaji wa masuala ya afya nchini, nimechoka kuvurugwa naagiza akamatwe popote na akahojiwe juu ya haya madai - Dk. Gwajima...
Chanjo zilizoletwa awamu ya kwanza ni 1m ambazo bado hazijaisha. Idadi ya madaktari na watumishi wa idara ya afya ni zaidi ya 1m nchini. Kwa kuwa hawa ndio wanapaswa kutoa chanjo na wamesita wenyewe kuchanjwa, iweje Dr Gwajima amkomalie Askofu Gwajima?

Dr Gwajima anajivuruga mwenyewe. Anapaswa kuhakikisha kwanza watu wa Wizara yake wanapata chanjo kama wanaamini ni bora na salama
 
Jimbo liwe wazi asap
Tumsamehe Halima
Tumrudishe kundini kwani hakuna binadamu aliyekamilika.
Mwenyezimungu Mkubwa tuendelee kuamini kwamba DHULMA HAIDUMU NA ENDAPO ITADUMU BASI ITA ANGAMIZA
 
Wao ndiyo wathibitishe na watoe scientific proof ya kuwa chanjo ni salama, inazuia ugonjwa na ina life span ipi.
ACHA KUJIDHALILISHA. CHANJO IMETENGENEZWA KUFUATA MTIRIRIKO WOTE WA KISAYANSI NA IMETHIBITIKA HAINA MADHARA NDIO MAANA IKARUHUSIWA NA TAASISI HUSIKA KAMA WHO. DAI NA SCIENTIFIC PROOF YA CHANJO NYINGINE ZOTE BASI.
 
Leta hapa data walizotoa kwamba chanjo hii haina madhara for the next ten years. Weka hapa hizo proof.
Nakunywa wine hapa, unitag
20210817_163251.jpg
 
Back
Top Bottom