kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,802
- 6,468
Na gazeti likataka liuzikeIla huyu waziri tulipigwa asee
Na gazeti likataka liuzikeIla huyu waziri tulipigwa asee
Pole kijana, ukikua ndio utakujafahamu madhara ya kufua nguo zako za ndani, hadharani.SASA CHA AJABU HAPO NI KIPI KILA MWENYE MKE SI HUWA ANAFANYA HILO TENDO AU KUNA WENGINE WAMEOA LAKINI WANAKAA NAO TU KAMA SANAMU?NI SAWA NA MTU KUONA AIBU KUSEMA ANAKUNYAGA
CHECK THE BOLD BELOW ILA NI SHAURI YA AKILI NYINGINAOMBA kuuliza Kama huyu mama kasoma URUSI
Anakila dalili za kuonesha kasoma huko Nina anko wangu kasoma huko yaan wanafanana kitabia na huyu mama kabisa
Kwani alikuwa na maradhi gani?
Ile ni kuhamasisha ngono asee
nasubiri kumsikiliza Gwajima jumapiliAnatumia nguvu nyingi sn kwenye swala la chanjo
Subiri Chidy boy (gwajey) akunyooshe jpili kanisani kwake Ubungo
Apate mimba,alafu tuone Mtoto wake atakavyotoka,na baada ya kumuona Mtoto ndiyo tunafunga uchunguzi wetu kuhusu Chanjo!!Katesti mitambo ina maana kapiga shoo hakuna tatizo lililojitokeza kwa kuchanjwa chanjo ya UVIKO 19
Msomi kweli wewe?Apate mimba,alafu tuone Mtoto wake atakavyotoka,na baada ya kumuona Mtoto ndiyo tunafunga uchunguzi wetu kuhusu Chanjo!!
Msomi wwe ambae tayari una taarifa za Watoto waliozaliwa baada ya Chanjo ya Corona! Sisi wengine bado tunasubiri data ili tujiridhishe kwanza kabla ya kufanya maamuzi magumu!!Msomi kweli wewe?
Ujinga. Marathii. Umasikini. Alisema Nyerere wenu 1961Msomi wwe ambae tayari una taarifa za Watoto waliozaliwa baada ya Chanjo ya Corona! Sisi wengine bado tunasubiri data ili tujiridhishe kwanza kabla ya kufanya maamuzi magumu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ila huyu waziri tulipigwa asee
hivi mkiwaa saluni zenu za kike huwa hamtoi siri za chumbani kweli?Hiki kichwa kiko sawa kweli!