complex31
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 379
- 1,208
Ifike mahali tujue kwamba tunahitaji barabara mpya sio mara ya kwanza kusikia dereva wanafungiwa leseni, lakini bado ajali zipo.
Barabara zetu zimetengenezwa kurusuhu gari kutoka point A kufika B kwa mwendo ambao hauzidi 80km/hr
Haya magari huko duniani wanapotengeneza yanaletwa na speed zaidi ya 80 hivo kutokana na kwao kua na miundombinu bora wanadhani na kwetu ni hivo hivo
Either serikali itoe order magari ya kuja tanzania yawe na speed mwisho 80 au ni wakati wa kufikiria kuanza kutengeneza barabara mpya kuepusha mambo ya ajali na bus kuvuka speed elekezi