Waziri azifunga leseni za Madereva wa Mabasi 10 kwa kuendesha speed 125 kwa saa. Aagiza washtakiwe

Kuendesha 125km/h sio tatizo . Tatizo haswa ni:

1. Je barabara zetu zina ubora wa kuhimiri hiyo speed ya 125
2. Je vyombo kama mabasi hayo viko roadworthy kuwepo barabarani?
3. Je kuna vifaa gani zaidi ya vitochi vya polisi vinavo zuia watu kuendesha mwendo hatarishi?

Ni nini serikali inafanya ili kuwawezesha madereza kutii sheria barabari, speed governors hazitoshi, vipi kuhusu traffic speed camera -Kwa nini zisifungwe huko barabarani? driving licences kuwa na points kwa kila kosa kabla ya kuwa revoked?

Waziri hawezi tu kuwafungia watu kufanya kazi maana watashindwa kuishi, na Judge makini hawezi kuwa- deprive haki yao ya kuishi kwa kukosa kazi au kipato na atawapa adhabu mbadara na wataendelea na kazi yao ya kuendesha mabasi. Kosa ni kwa serikali kutoweka namna bora ya kuzuia mwendo hatarishi kwa kuweka vifaa vinavyo wafanya watu wajue kwamba ni hatari- mfano- compursory awareness course kwa madreva wa mabasi kila mwaka, kufunga average speed cameras huko mabarabarani ( sio vitochi), kuhakikisha road worthiness ya vyombo na ubora wa njia za magari na mambo mengineyo ambayo wenzetu wanafanya huko duniani.
 
Kwa mkwara huu, watu watafika Dar - Mwanza Mwanza - Dar alfajiri kesho yake sana tu.
 
Dah 125 km per hour na tena kwenye barabara zetu hizi isitoshe mabasi ya abiria? Wafungiwe tu.
Inaonekana mambo ya speed yanakupiga chenga bado. Bus nyingi zinafikaga 180 bila abiria kujua. Ajari nyingi si matokeo ya speed bali miundombinu mibovu ya barabara, Sheria ya speed ya leo ni ya kale haiangalii maendeleo tuliyofikia.

Sema Serikali inaogopa kukubali ikajibebesha mzigo wa kujenga high ways kwa masafa marefu. Tanzania ni pana sana! nikuache na swali, ni mara ngap umeskia ajari ya dreva kukimbiza hadi bus likamshinda kulimudu na mara ngap ajari za kugongana uso kwa uso?
 
Hivi wewe ungefurahi kusikia mzazi wako au ndugu yako amepanda kwenye moja ya hilo basi. Mimi binafsi nisingeweza kutulia mpaka afike salama.
Speed 120 ni kawaida sana, mbona wao gari zao zinaenda mpk speed 220 au wao hawajali uhai wao wanatujali sana sisi wananchi? gari za Serikali mara kwa mara zinapata ajali au huwa husikii?
 
Kuendesha 125km/h sio tatizo . Tatizo haswa ni:

1. Je barabara zetu zina ubora wa kuhimiri hiyo speed ya 125
2. Je vyombo kama mabasi hayo viko roadworthy kuwepo barabarani?
3. Je kuna vifaa gani zaidi ya vitochi vya polisi vinavo zuia watu kuendesha mwendo hatarishi?

Ni nini serikali inafanya ili kuwawezesha madereza kutii sheria barabari, speed governors hazitoshi, vipi kuhusu traffic speed camera -Kwa nini zisifungwe huko barabarani? driving licences kuwa na points kwa kila kosa kabla ya kuwa revoked?

Waziri hawezi tu kuwafungia watu kufanya kazi maana watashindwa kuishi, na Judge makini hawezi kuwa- deprive haki yao ya kuishi kwa kukosa kazi au kipato na atawapa adhabu mbadara na wataendelea na kazi yao ya kuendesha mabasi. Kosa ni kwa serikali kutoweka namna bora ya kuzuia mwendo hatarishi kwa kuweka vifaa vinavyo wafanya watu wajue kwamba ni hatari- mfano- compursory awareness course kwa madreva wa mabasi kila mwaka, kufunga average speed cameras huko mabarabarani ( sio vitochi), kuhakikisha road worthiness ya vyombo na ubora wa njia za magari na mambo mengineyo ambayo wenzetu wanafanya huko duniani.
Wewe ndo umeusema ukweli. naamini tafiti za chanzo cha ajari kikubwa Serikali inazipika kukwepa wajibu hasa wa miundombinu ya barabara zetu na usimamiaji wa matumizi yake.

Tunakaririshwa speed, vipi barabara kuu zote Dar- Namanga, Dar - Tunduma, Dar - Mutukula, Dar- Mwanza zikijengwa ngazi ya highway bila magari kupishana! hata wakiondoa speed limit ajali zingepungua. pia tanroads wakaziba mishimo mapema hata iweje bado muda ni mtaji. Speed huanzia hapo.
 
Siupande trecta sasa
Au aende Chato akanunue ule mkokoteni unao kokotwa na punda🐴 na kutuachia mabasi yetu.

Muhimu madereva wazingatie tu sheria. Maana ajali zote hazisababishwi na mwendo kasi tu.
 
Yaani nawe unapitwa na habari,
Hii habari ya three days back
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom