Hizi ligi za mabasi zisipodhibitiwa zitaendelea kuua ndugu zetu

James_patrick_

Senior Member
Mar 20, 2017
106
194
Hivi huwa najiuliza mkuu wa latra huwa anapataje usingizi ikiwa kila kukicha ajali za mabasi ya abiria zinazidi kuongezeka? Ameshindwa kutafuta suluhisho kweli?

Mabasi yote yafungwe camera ambazo zitakuwa zinafatilia mienendo yote ya madereva waoshindana uku wakiwa wamebeba roho za watu.

Unataka kushindana ungeenda kusomea mambo ya formula one uko acheni utoto nyie madereva. Mimi ni dereva nina uzoefu wa miaka 13 barabarani sijawahi kusababisha ajali kwakuwa najua kutafsiri ninachokiona mbele yangu na kuchukua maamuzi haraka kabla matatizo ayajatokea..sasa madereva wa mabasi wanakimbia tu mahesabu ya kitoto kabisa.

Mtu anachokiona mbele yake na mwendo wake ni vitu viwili tofauti huo sio udereva..mmeniulia rafiki yangu kwa mambo yenu ya kitoto.

Sifa ya dereva ni kuendesha gari na kumfanya abiria wake ajihisi yupo salama zaidi na kama anataka kulala asiwe na mashaka alale tu usingizi mpaka mwisho wa safari.

Kwanza kama dereva mzuri unayejitambua akuna raha kama ukiwa unaendesha gari halafu ukageuka nyuma ukaona abiria wake karibu wote wamelala..hapo ujue wameshakuamini na wamekukubali sasa kwa mbio zenu ambazo mahesabu yake ni zero sijui kama kuna abiria analala sasa ndio udereva gani?

Naomba latra wafunge kamera kwenye mabasi na wasicheke na dereva anayefanya mchezo kwenye roho za watu wakimkamata wamfutie leseni kabisa akatafute kazi nyingine maana hawa madereva ambao walikosa kazi ya kufanya wakaingia kwenye udereva ndio wanaleta shida sana maana udereva aupo kwenye dam walivamia fani tu.

Pumzika kwa amani rafiki yangu
 
Sasa kama tunatoa leseni kubwa kabisa kwa kigezo cha kusoma na kuandika... kuna haja ya kutafuta mchawi?
 
Nani anaye jali?

Ingekuwa uchaguzi hapo sawa.
 
Wao wanakwambia anayeweza kuendesha at Above Speed limits ndio Dereva wanamkubali
 
Jana Chuma kimekula Basi zima abiria wote 45 huko South Afrika lakini Wasauzi huwasikii wakilaumu.
_133042003_busgoodpic.jpg
 
Back
Top Bottom