Ucfikirie kukaa NY ndio kuukata au kujua mengi hata ce tuko UK lkn tupo kimya penye ukweli tunawapa live
Unashangaa waziri anapewa heshima za mwisho rais yuko Marekani.
Lakini haukushangaa kiongozi na mgombea ubunge wa Chadema amefariki akitoka kwenye kampeni Lowassa alikuwepo Tanzania kashindwa kwenye kumzika mgombea ubunge ambaye alikuwa anampigia kampeni usiku kucha
Rais Kikwete atakwenda kumzika waziri wake akirudi kutoka safarini.
Msiwe wanafiki mnajifanya mna huruma wakati msiba wa Mtoi mmeukimbia.
Nina uhakika ashinde magufuli , ashinde lowassa. Jamani Safari za raisi lazima zipungue, semeni chochote lakini ukweli kwa uchumi wetu hatuwezi kungharimia raisi ajaye Safari zaidi ya 300 nje ya Nchi kwa miaka kumi. Tujifunze hapo, na hii lazima iwe kauli Mbiu ya watanzania wote. Tuwe tumejifunza hii miaka kumiKikwete ni mtu wa matunuzi, sasa yuko kwa Obama subiri hizi siku 20, ataenda kwa Cameron (UK), Angela Markel (Ujerumani), France, Spain, Kenya, Rwanda etc
Hii ni fedheha kubwa kama rais wa Tanzania waziri wake anafariki akiwa nje ya nchi anashindwa kukatisha ziara na kurudi kujumuika na Watanzania kwenye maombolezo.
Tumeona kwa wenzetu huko alipo ingetokea rais wao akiwa hapa kwa vyovyote angekatiza ziara na kurudi kujumuika na raia wake.
Lakini rais wetu bila kujali ameendelea kula raha nje, huku tukidanganywa kuwa yupo kwenye shughuli za kiserekali. Hata kama yupo katika shughuli za kiserikali lakini inapotokea kifo katika taifa lako ni jukumu lako rais kuhairisha msafara na kurudi kujumuhika na raia wako. Kwani kundi aliloongozana nalo hakuna anaeweza kubaki na kuendelea na ziara mpaka awepo yeye.
Siku zote mnasema Kikwete ni mpenda watu ikitokea misiba anahudhuria, hakuna inategemeana na misiba na nyingine zinamkuta akiwa hapa nchini. Lakini ukifuatilia misiba na matukio mazito ya nchi yetu yaliyowahi kutokea ambazo rais anatakiwa awepo Kikwete hajawahi kukatiza ziara na kurudi. Anachojali sasa hivi ni kuhakikisha anamalizia ziara zake kwa mgongo wa urais.
tUNAMSHUKURU MUNGU KWA KIKWETE KUMALIZA AWAMU YAKE LA SIVYO WATANZANIA TUNGEENDELEA KULIA NA KUSAGA MENO. KIKWETE RAHA YAKE NI KWENDA KUOMBAOMBA MISAADA NJE WAKATI KATIKA NCHI YETU TUNA KILA KITU.
yuko kwenye mkutano wa UN,jamani kifo hakinaga taarifa.RAIS WETU MWACHENI
AHUDHULIE BARAZA LA UN
Eagle president
YAYA TOURE alipofiwa na kaka yake wakati wa mechi za kombe la dunia 2014 hakurudi ivory coast nyumbani kumzika kwa sababu sheria za kombe la dunia haziruhusu.tuwe fair rais hawezi kuhudhuria kila msiba by the way makamu wa rais alikuwepo