Hii ni fedheha kubwa kama rais wa Tanzania waziri wake anafariki akiwa nje ya nchi anashindwa kukatisha ziara na kurudi kujumuika na Watanzania kwenye maombolezo.
Tumeona kwa wenzetu huko alipo ingetokea rais wao akiwa hapa kwa vyovyote angekatiza ziara na kurudi kujumuika na raia wake.
Lakini rais wetu bila kujali ameendelea kula raha nje, huku tukidanganywa kuwa yupo kwenye shughuli za kiserekali. Hata kama yupo katika shughuli za kiserikali lakini inapotokea kifo katika taifa lako ni jukumu lako rais kuhairisha msafara na kurudi kujumuhika na raia wako. Kwani kundi aliloongozana nalo hakuna anaeweza kubaki na kuendelea na ziara mpaka awepo yeye.
Siku zote mnasema Kikwete ni mpenda watu ikitokea misiba anahudhuria, hakuna inategemeana na misiba na nyingine zinamkuta akiwa hapa nchini. Lakini ukifuatilia misiba na matukio mazito ya nchi yetu yaliyowahi kutokea ambazo rais anatakiwa awepo Kikwete hajawahi kukatiza ziara na kurudi. Anachojali sasa hivi ni kuhakikisha anamalizia ziara zake kwa mgongo wa urais.
tUNAMSHUKURU MUNGU KWA KIKWETE KUMALIZA AWAMU YAKE LA SIVYO WATANZANIA TUNGEENDELEA KULIA NA KUSAGA MENO. KIKWETE RAHA YAKE NI KWENDA KUOMBAOMBA MISAADA NJE WAKATI KATIKA NCHI YETU TUNA KILA KITU.