Waziri anapewa heshima za mwisho Karimjee, Rais yuko Marekani

Waziri anapewa heshima za mwisho Karimjee, Rais yuko Marekani

Wtaka arudi wapi na yeye tayari yuko kwao?
 
Hivi Kombani bado alikuwa waziri? kwahiyo Amosi Makala yeye ni naibu waziri wa maji na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
 
Mkiitwa malofa mnakunja ngumi, lakini hiki ulichokiandika mtoa mada ndio ulofa wenyewe aliozungumzia BEN.

Ukiwa kwenye mgao utatoa mishipa mpaka ipasuke,mnalo mwaka huu. Tunza ulizopata kwani wenye nchi wanakuja
 
Tanzania lazima mjijue mlipoteza miaka 10 ya kuwa na huyu mtu madarakani...50 years - 10 years= 40years ya uhuru maana 10 ni waste years.
 
Ukiwa kwenye mgao utatoa mishipa mpaka ipasuke,mnalo mwaka huu. Tunza ulizopata kwani wenye nchi wanakuja

Kuna UNGA going on in NY, every global player has to be there. Usiwe kama chizi au taahira anayeropoka tu. Hili ndio tatizo kuu la Bavicha. Mmejaa watoto wapuuzi, msio na upeo na wenye mihemko mingi. Hamkisaidii chama chenu,zaidi mnakiumiza. Kama unaelewa niachoendela NY, usingepiag hizi kelele zisizo na maana.
Muda si mrefu utaanza kumuita hadi baba yako nae yuko kwenye mgao. Kumbe umechanganyikiwa. Na kwa upeo huu unaouonesha, ajira baadae sana. hakuna atakayeajiri huu upuuzi. Endelea kupoteza muda wako kwenye siasa, maana huko hakuna interview, ni uwezo wako tu wa kupayuka kama mpumb*vu
 
Jamani naomba kabla hujaandika R au L jiulize je uko sahihi? Ikibidi omba ushauri. Jamani hivi kweli mnakosea au ni makusudi? Zaidi ya asilimia 70 ya wana jf mnaandika broken Swahili halafu eti leo mnahoji kingereza cha wagombea? Unapoandika Urafi badala ya Ulafi! Mwingine kuhudhulia badala ya kuhudhuria! Loo! Basi andikeni kizungu tu tujue misomo international schools za mahela mengi ingawa mnasema hakijafanyika kitu 50yrs. Mbona kingereza hamkosei?

Waache wapime wenyewe, wengine mstari wa mbele kusema Mungu halafu wanaandika, "mungu". Ufahamu wa vitu mdogo kabisa.
 
Hii ni fedheha kubwa kama rais wa Tanzania waziri wake anafariki akiwa nje ya nchi anashindwa kukatisha ziara na kurudi kujumuika na Watanzania kwenye maombolezo.

Tumeona kwa wenzetu huko alipo ingetokea rais wao akiwa hapa kwa vyovyote angekatiza ziara na kurudi kujumuika na raia wake.
Lakini rais wetu bila kujali ameendelea kula raha nje, huku tukidanganywa kuwa yupo kwenye shughuli za kiserekali. Hata kama yupo katika shughuli za kiserikali lakini inapotokea kifo katika taifa lako ni jukumu lako rais kuhairisha msafara na kurudi kujumuhika na raia wako. Kwani kundi aliloongozana nalo hakuna anaeweza kubaki na kuendelea na ziara mpaka awepo yeye.

Siku zote mnasema Kikwete ni mpenda watu ikitokea misiba anahudhuria, hakuna inategemeana na misiba na nyingine zinamkuta akiwa hapa nchini. Lakini ukifuatilia misiba na matukio mazito ya nchi yetu yaliyowahi kutokea ambazo rais anatakiwa awepo Kikwete hajawahi kukatiza ziara na kurudi. Anachojali sasa hivi ni kuhakikisha anamalizia ziara zake kwa mgongo wa urais.

tUNAMSHUKURU MUNGU KWA KIKWETE KUMALIZA AWAMU YAKE LA SIVYO WATANZANIA TUNGEENDELEA KULIA NA KUSAGA MENO. KIKWETE RAHA YAKE NI KWENDA KUOMBAOMBA MISAADA NJE WAKATI KATIKA NCHI YETU TUNA KILA KITU.

Kwanza kabisa hatuna budi tumshukuru sana Muumba. waTanganyika tumemaliza kipindi cha miaka 10 bila kuwa na kiongozi/mkuu wa nchi na bado tume-survive. Afadhali jirani zetu wa Zanzibar - wao kiongozi wao yupo nao muda wote.
Pili, huyu mfano tuliokuwa tumejiwekea yeye hata anapokuwa Tanganyika akili yake inakuwa udiasporani. Yeye ni diaspora kindakindaki.
Tatu, tumuombee uzima kusudi ifikapo hiyo Oktoba 25 ashuhudie mazishi (kupitia runingani po pote pale atakapokuwa) ya mzee wetu mpendwa mhe prof dkt ccm.
 
Sina upande kaka,natoa credits kule zinakotakiwa kupelekwa,singalii vyama.Ndo maana nalipinga fisadi mamvi kwa nguvu zote,hata now lipo ukiwa,nililipinga likiwa CCM,na ninalipinga likiwa CHEDEMA
Hayo ndo maneno ya mtu mwenye busara. Siyo unyumbu na ugwajima uliotamalaki. Ni wachache wanaoweza kusimama katika kweli hasa katika mazingira haya ya mihemko, mapenzi mahaba na usakatonge. Hujakosea kuweka hiyo avatar ya Gabrielle Union. She is one of the smartest black actresses in Hollywood... and extremely beautiful! Wabeja mayu!
 
Sina upande kaka,natoa credits kule zinakotakiwa kupelekwa,singalii vyama.Ndo maana nalipinga fisadi mamvi kwa nguvu zote,hata now lipo ukiwa,nililipinga likiwa CCM,na ninalipinga likiwa CHEDEMA
Victoire ningekuamini kuwa hayo unayoyanena ni ya dhati kama ungeonesha kuwa unachukia mifasidi yote ikiwa ni pamoja na hili mamvi na yale yaliyobakia katika mtambo wenyewe wa kuzalisha ufisadi - ccm ambayo yanajumuisha na yale ambayo fisadi aligawa nyumba za serikali na kuwagawia vimada wake leo hii anazunguka kuyanadi mafisadi mabichi ya Eskrow. Hapo ningekuamini, vinginevyo fikira zako ni zile zile mgando za kimagamba. Heri ya fisadi lilijitambua na kutubu (kwa kujiunga na teammabadiliko).
 
kaenda kubadili WEKUNDU si unajua siku za sindbad ziko ukingoni?wekundu wanaisha mara kwa mara na mdudu bado anakula wekundu na hivyo kupungua kwa kasi,mlisema edo mgonjwa bado anadunda sasa huyu sindbad sijui kabakiza siku ngapi maana asipoenda marakwamara USA uhai mashakani
 
Kwani kuna msiba gani?? Eee mnipashe basi.. kuna msiba gani wa mtu maarufu?? Kwani waziri ni chochote kwake ? Ingekuwa msanii Wa kike hapo sawa.!!
 
Kwanza kabisa hatuna budi tumshukuru sana Muumba. waTanganyika tumemaliza kipindi cha miaka 10 bila kuwa na kiongozi/mkuu wa nchi na bado tume-survive. Afadhali jirani zetu wa Zanzibar - wao kiongozi wao yupo nao muda wote.
Pili, huyu mfano tuliokuwa tumejiwekea yeye hata anapokuwa Tanganyika akili yake inakuwa udiasporani. Yeye ni diaspora kindakindaki.
Tatu, tumuombee uzima kusudi ifikapo hiyo Oktoba 25 ashuhudie mazishi (kupitia runingani po pote pale atakapokuwa) ya mzee wetu mpendwa mhe prof dkt ccm.

Nchi ipo kwenye autopilot mode,
 
Kuna UNGA going on in NY, every global player has to be there. Usiwe kama chizi au taahira anayeropoka tu. Hili ndio tatizo kuu la Bavicha. Mmejaa watoto wapuuzi, msio na upeo na wenye mihemko mingi. Hamkisaidii chama chenu,zaidi mnakiumiza. Kama unaelewa niachoendela NY, usingepiag hizi kelele zisizo na maana.
Muda si mrefu utaanza kumuita hadi baba yako nae yuko kwenye mgao. Kumbe umechanganyikiwa. Na kwa upeo huu unaouonesha, ajira baadae sana. hakuna atakayeajiri huu upuuzi. Endelea kupoteza muda wako kwenye siasa, maana huko hakuna interview, ni uwezo wako tu wa kupayuka kama mpumb*vu

Ucfikirie kukaa NY ndio kuukata au kujua mengi hata ce tuko UK lkn tupo kimya penye ukweli tunawapa live
 
Ucfikirie kukaa NY ndio kuukata hata ce tuko UK lkn tupo kimya penye ukweli tunawapa live
Unashangaa waziri anapewa heshima za mwisho rais yuko Marekani.

Lakini haukushangaa kiongozi na mgombea ubunge wa Chadema amefariki akitoka kwenye kampeni Lowassa alikuwepo Tanzania kashindwa kwenye kumzika mgombea ubunge ambaye alikuwa anampigia kampeni usiku kucha

Rais Kikwete atakwenda kumzika waziri wake akirudi kutoka safarini.

Msiwe wanafiki mnajifanya mna huruma wakati msiba wa Mtoi mmeukimbia.
 
Back
Top Bottom