Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,037
- 60,225
Victoire ningekuamini kuwa hayo unayoyanena ni ya dhati kama ungeonesha kuwa unachukia mifasidi yote ikiwa ni pamoja na hili mamvi na yale yaliyobakia katika mtambo wenyewe wa kuzalisha ufisadi - ccm ambayo yanajumuisha na yale ambayo fisadi aligawa nyumba za serikali na kuwagawia vimada wake leo hii anazunguka kuyanadi mafisadi mabichi ya Eskrow. Hapo ningekuamini, vinginevyo fikira zako ni zile zile mgando za kimagamba. Heri ya fisadi lilijitambua na kutubu (kwa kujiunga na teammabadiliko).
kusemau ukweli hata Magufuli nilikuwa simkubali,ila ukilinganisha ufisadi wa Magufuli na Lowasa,Lowasa ni papa.Kwa taarifa yako Nyumba ya aliyouziwa Sundi na Mussa zilisharudishwa serikalini wakauziwa waliostahili.Pia Sumaye mwenyewe alikiri kuwa mpango wa kuuza nyumba haukuwa wa Magufuli.Pia hizo nyumba Sumaye na Lowasa na wao walchukua.Magufuli kwa sasa yupo Safi na ndiyo anafaa kuwa RAISI