Waziri anapewa heshima za mwisho Karimjee, Rais yuko Marekani

Waziri anapewa heshima za mwisho Karimjee, Rais yuko Marekani

Waache wapime wenyewe, wengine mstari wa mbele kusema Mungu halafu wanaandika, "mungu". Ufahamu wa vitu mdogo kabisa.

Hahaha! Sijui wamesoma shule gani hawa. Mtoa mada naye anaandika "kujumuhika" badala ya kujumuika. Kazi kweli kweli.
 
Hili jamaa uzuri mim sikumpa kura. Maana yeye anawaza kukopa tu sio mbunifu. Nahisi huko marekani ana ikulu nyingine. Anapiga pesa akitegemea watanzania watalipa kwa kodi zao. Anaboa sana jamaa.
 
Hapo inategemea mbona makamo yupo anawakilisha kama kufa Kila siku tunakufa na rais hayupo tz

kuna memba ameuliza kuwa , 'mbona alipofariki shehe yahaya rais alikua nje ya nchi lakini akaagiza asizikwe hadi atakapofika'
 
Back
Top Bottom