Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,173
[emoji115][emoji115][emoji115]Uache ujinga kuuliza maswali ya kishambaYaani PhD holder ambaye kwa mitaala yetu amesoma kiingereza(kuandika,kusoma na kuongea) kwa zaidi ya miaka 20 na bado ni mwalimu wa kemia na hisabati kitaaluma na amefundisha masomo hayo sekondari halafu haijui hiyo lugha na ni rais wa nchi ambaye alifukuza watu kwa kufoji vyeti kisha yeye tusimuhoji? Uko serious mkuu?
Hivi ni kwanini kwa hapa nyumbani usopojua kiingereza unaonekana kilaza??