Mkuu nipo salama baada ya ligi kali na IT'S,nipo border kesho ninahamia kwa H&H,ila sikukutana na mzee yeyote wa Road trip, T1 yetu inahitaji bado matengenezo makubwa hasa kati ya Mbeya na Tunduma, kipande cha Igawa hadi Uyole, na we need urgent kazi pale Kitonga Pass, ligi hawakuiweza bcs under the bonnet nilikua na 2.4L,Toyota Hilux model 2018,one full tank kutoka Dar hadi Tunduma,80L thanksMkuu tupe mrejesho.
Hongera mkuu.Mkuu nipo salama baada ya ligi kali na IT'S,nipo border kesho ninahamia kwa H&H,ila sikukutana na mzee yeyote wa Road trip, T1 yetu inahitaji bado matengenezo makubwa hasa kati ya Mbeya na Tunduma, kipande cha Igawa hadi Uyole, na we need urgent kazi pale Kitonga Pass, ligi hawakuiweza bcs under the bonnet nilikua na 2.4L,Toyota Hilux model 2018,one full tank kutoka Dar hadi Tunduma,80L thanks
Mkuu kwa uzoefu wako Kati ya toyota hilux ,diesel ile ya 2.7cc 2010 na hizo new model za kuanzia 2015 kama hiyo uloendesha ya 2018 , ipi toleo bora na inakimbia zaidi? Mi nauza nissan Navara iko juu ya mawe nataka nikachukue toyota hilux zile za south africa za 2010 ,.pia Kati ya diesel na petrol ipi bora kwa uzoefu wako Mkuu?Mkuu nipo salama baada ya ligi kali na IT'S,nipo border kesho ninahamia kwa H&H,ila sikukutana na mzee yeyote wa Road trip, T1 yetu inahitaji bado matengenezo makubwa hasa kati ya Mbeya na Tunduma, kipande cha Igawa hadi Uyole, na we need urgent kazi pale Kitonga Pass, ligi hawakuiweza bcs under the bonnet nilikua na 2.4L,Toyota Hilux model 2018,one full tank kutoka Dar hadi Tunduma,80L thanks
Hapo huoati hata ya soda hayo ni matakataka endelea kutafuta zingine
Mkuu overall Toyota it's the best bakkie, nashauri chukua toyota hilux sc 2.4 L,model yeyoye from 2017 upwardsMkuu kwa uzoefu wako Kati ya toyota hilux ,diesel ile ya 2.7cc 2010 na hizo new model za kuanzia 2015 kama hiyo uloendesha ya 2018 , ipi toleo bora na inakimbia zaidi? Mi nauza nissan Navara iko juu ya mawe nataka nikachukue toyota hilux zile za south africa za 2010 ,.pia Kati ya diesel na petrol ipi bora kwa uzoefu wako Mkuu?
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Bei ya hilux mwaka 2017 bei mbaya Mkuu, labda 2007 ____ 2010 ndo naweza nunua, but thank so much.Mkuu overall Toyota it's the best bakkie, nashauri chukua toyota hilux sc 2.4 L,model yeyoye from 2017 upwards
Ni kweli ila unusual wa magari SA unategemea factors nyingi, uzuri uwe na muda na bila haraka, repossessed cars ni cheaper hasa kwenye Minada ya kibenki, hizo models unazoulizia unaweza kupata under 60k zar,good luckBei ya hilux mwaka 2017 bei mbaya Mkuu, labda 2007 ____ 2010 ndo naweza nunua, but thank so much.
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Thanx Mkuu, hyo minada ya kibenk imekaaje?Ni kweli ila unusual wa magari SA unategemea factors nyingi, uzuri uwe na muda na bila haraka, repossessed cars ni cheaper hasa kwenye Minada ya kibenki, hizo models unazoulizia unaweza kupata under 60k zar,good luck
Nimeokota mkuu si haba.Hapo huoati hata ya soda hayo ni matakataka endelea kutafuta zingine
Navara imeua nini mkuu hadi ikae juu ya mawe? Na pia unauza pesa ngap?Mkuu kwa uzoefu wako Kati ya toyota hilux ,diesel ile ya 2.7cc 2010 na hizo new model za kuanzia 2015 kama hiyo uloendesha ya 2018 , ipi toleo bora na inakimbia zaidi? Mi nauza nissan Navara iko juu ya mawe nataka nikachukue toyota hilux zile za south africa za 2010 ,.pia Kati ya diesel na petrol ipi bora kwa uzoefu wako Mkuu?
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Engine isha choka inapanda milima kwa shida sana, pia ilivujisha oil kwenye engine , na inakua na harufu ya oil ukiwa unaendesha.fundi alishauri kubadili engine.Navara imeua nini mkuu hadi ikae juu ya mawe? Na pia unauza pesa ngap?
Kuuza rasmi bado nashirikiana na Mzee wangu tunaangalia uwezekano wa kupata gari nyingn kwanza ndo tutauuza,Navara imeua nini mkuu hadi ikae juu ya mawe? Na pia unauza pesa ngap?
Okay sawa.Kuuza rasmi bado nashirikiana na Mzee wangu tunaangalia uwezekano wa kupata gari nyingn kwanza ndo tutauuza,
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Ila hizo hilux zinatembea balaa sijui kuna maajabu gani mjapan kafanya maana ukiangalia horsepower yake ni ya kawaida ila balaa lake sasa!Mkuu overall Toyota it's the best bakkie, nashauri chukua toyota hilux sc 2.4 L,model yeyoye from 2017 upwards
mnyamakazi hajagusa mswaki bado duh🤣🤣🤣
Ila hizo hilux zinatembea balaa sijui kuna maajabu gani mjapan kafanya maana ukiangalia horsepower yake ni ya kawaida ila balaa lake sasa!
mkuu upo kwenye gang ya IT?Mkuu nipo salama baada ya ligi kali na IT'S,nipo border kesho ninahamia kwa H&H,ila sikukutana na mzee yeyote wa Road trip, T1 yetu inahitaji bado matengenezo makubwa hasa kati ya Mbeya na Tunduma, kipande cha Igawa hadi Uyole, na we need urgent kazi pale Kitonga Pass, ligi hawakuiweza bcs under the bonnet nilikua na 2.4L,Toyota Hilux model 2018,one full tank kutoka Dar hadi Tunduma,80L thanks
Kwa hizo kms ukiendeshea 80kph lazma pakuche upya uko barabarani🤣! Dawa ni kuichapa lami kwa 160kph-200kphkama speed ngapi vile ndio roho inabidi inakuchonoka.
Safari ndefu inachosha asikwambie mtu. Hapa nawaza Safari ya kurudi bongo. KM 1350+ si mchezo. Hapo lazima kibati kihusike