Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu salama? poleni kwa mihangaiko ya maisha. Nilipotea humu ila yote ni heri ni pilika za maisha.

Jamani I need your ideas, kwa wenye uzoefu, mnaweza kushare moja au mawili kuhusu hii gari ya KIA Sportage? 2012-2013? Hapa kwetu bongo vipi zinahimilika? Do we have good fundis au dealer?

Please share your honest experience! Especially kama kuna aliyewahi miliki au deal na hii gari.

Yaani nahitaji kausafiri lakini ushuru haushikiki kabisa! Kila ninapogusa, hapagusiki....!

Extrovert Mshana Jr Holy Man Hornet Kaveli Karma na wengine wenye neno, tafadhali!!!.
 
Code wazee wa trip za town
053AE188-97AB-41F0-9998-BA3E464410B3.jpeg
 
Wakuu salama? poleni kwa mihangaiko ya maisha. Nilipotea humu ila yote ni heri ni pilika za maisha.

Jamani I need your ideas, kwa wenye uzoefu, mnaweza kushare moja au mawili kuhusu hii gari ya KIA Sportage? 2012-2013? Hapa kwetu bongo vipi zinahimilika? Do we have good fundis au dealer?

Please share your honest experience! Especially kama kuna aliyewahi miliki au deal na hii gari.

Yaani nahitaji kausafiri lakini ushuru haushikiki kabisa! Kila ninapogusa, hapagusiki....!

Extrovert Mshana Jr Holy Man Hornet Kaveli Karma na wengine wenye neno, tafadhali!!!.
Kuhusu mafundi kama unaishi Dar ondoa shaka, vifaa pia dunia ni kama kijiji siku hizi. Gari ni matunzo mkuu. Chukua chombo hicho
 
Wakuu salama? poleni kwa mihangaiko ya maisha. Nilipotea humu ila yote ni heri ni pilika za maisha.

Jamani I need your ideas, kwa wenye uzoefu, mnaweza kushare moja au mawili kuhusu hii gari ya KIA Sportage? 2012-2013? Hapa kwetu bongo vipi zinahimilika? Do we have good fundis au dealer?

Please share your honest experience! Especially kama kuna aliyewahi miliki au deal na hii gari.

Yaani nahitaji kausafiri lakini ushuru haushikiki kabisa! Kila ninapogusa, hapagusiki....!

Extrovert Mshana Jr Holy Man Hornet Kaveli Karma na wengine wenye neno, tafadhali!!!.
Spea zinapatika mtaa wa Shaurimoyo jirani na afisi za basi za Raha Leo.

Kuna wakala wa KIA na Hyundai.

Ni gari nzuri.

Kuondoa stress zaidi kuhusu mafundi nunua kifaa kinaitwa FIXD Obd II.

(Bei yake ni ndogo tu inanunulika)

Back
Top Bottom