Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

VX huwa tunavimbiana sana . Kuna mmoja anikinukisha, nikawa nacheza nyuma yake kumuonesha kwamba hamna kitu, nilicheza nae hivyo kama km 100.. nilipokiwasha mie hakuonjona tena alikaribu chini juu kunitafuta akafa fail kabisa, akanikuta nimepataki gari pale kibagaigwa, ikabidi ashuke tupige story mbili tatu
Sisi sio wanyonge

20210619_105219.jpg
 
Back
Top Bottom