Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

W12 unapata 450hp?

Matumizi mabaya ya pesa.

Bora ujipinde uchukue 3L ikupe hata 510hp.
 
Kuna mtalii aliuliza mbona Tanzania ina vivutio vingi hivi na vingine havipo hata kwenye ramani hatuvioni? Akajibiwa Tanzania ikiamua kutangaza kila kivutio chake ili kiwekwe kwenye ramani ni uchafu!

And I felt it
We are poor in marketing.

Hatujui jinsi ya kujitangaza hata hivyo vichache vinavyofahamika.

Mpaka sasa, Zanzibar ni famous kuliko Tanzania.

Ukiacha na kutangaza vivutio vya utalii, hata Tanzania haifahamiki yenyewe kama yenyewe.

Yani suala la Utalii lipo complex sana kuliko tunavyoandika humu.
 
Mnanichanganya wazee, hayo majini achieni wazungu msije kuongeza takataka nchini tu!
 
Yeah nakubaliana na wewe hata hivi vichache tulivyo navyo hatujui jinsi ya kuvitangaza. Tunasubiri wazungu wanaokuja wakatutangazie.

Kuna nchi huko dunia ya kwanza raia wake wanajua Mlima Kilimanjaro uko Kenya na Lugha ya Kiswahili asili yake ni Kenya. Na tunaona poa tu.

Zanzibar sasa hivi iko mbali sana kiutalii na usikute watalii wanajua haiko Tanzania. Na hivi wenyewe hawaupendi muungano usikute hawajitangazi kama wako Tanzania.
 
Znz inapokea Watalii wangapi kwa mwaka na wanaingiza kiasi gani kwa mwaka?
 
Okay. Kidogo sana.
Bara niliambiwa mambo yakikaa vizuri huwa tunapokea watalii around 2M kwa mwaka na mapato yanaweza kufikia hata 8B USDs so tumewazidi visiwani kama mara nne hivi

Sasa tukilinganisha ukubwa pamoja na idadi ya vivutio kati ya bara na visiwani hatukutakiwa kuwazidi mara nne tu ilitakiwa tuwazidi zaidi ya mara hizo hivyo wao wanajitahidi pakubwa

Na hiyo ni kwa mujibu wa baadhi ya tour guides wa TANAPA wanasema watalii wengi huwa wanakuja kutembelea national parks sana wakati kuna vivutio zaidi ya hivyo na havitangazwi
 
Acha tu mkuu, hela jawabu la lila kitu.. hata hizi tunazo ona hazinuniliki kirahisi tukaze kutokana na ndoto zetu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…