mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Uko sawa kabisa boss.Halafu harrier zote zimekaa kikekike sijui ni mimi tu ndio huwa naona hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa kabisa boss.Halafu harrier zote zimekaa kikekike sijui ni mimi tu ndio huwa naona hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tuHalafu harrier zote zimekaa kikekike sijui ni mimi tu ndio huwa naona hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo hakuna anayeagiza magari mapya zaidi ya serikali. Hata wabunge hukopeshwa pesa kwa ajili ya magari mapya lakini huishia kununua mitumba ya magari. Harrier nyingi zilizoko nchi ya bongo ni mitumba ya 1998-2002!!!!Hiyo chuma ipo mjini mkuu, jitahidi kuangalia barabara za Masaki,Morocco au Posta.
Kuna watu town wanasukuma ndinga kali wametulia hawana habari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo unazosema ni nyingi ni mitumba, bei yake mpaka kuitia mkononi haizidi milioni 18. Ni version ya 1998-2002!!Kuna dem mmoja yupo clouds namuonaga sana Na hii chuma ila zipo nyingi sana mjini kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakini siyo jipya ni mtumba. Range Rover mpya hapo unazungumzia milioni 150 na kuendelea!!
Haujakosea!! Male version ni Kluger!Halafu harrier zote zimekaa kikekike sijui ni mimi tu ndio huwa naona hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
100 unapata mpya. yaani 0 km tena ya mwaka janaSawa lakini siyo jipya ni mtumba. Range Rover mpya hapo unazungumzia milioni 150 na kuendelea!!
Kwa iyo mimi sijui harrier ya 2017 mkuu?Hizo unazosema ni nyingi ni mitumba, bei yake mpaka kuitia mkononi haizidi milioni 18. Ni version ya 1998-2002!!
Kabisa MkuuHaujakosea!! Male version ni Kluger!
ipo hata huku klmHarrier ya mwaka juzi. Bongo ipo? Nisije leta afu tuwe wengi wengi View attachment 984710
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari ya madem hiyoHalafu harrier zote zimekaa kikekike sijui ni mimi tu ndio huwa naona hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekaa ki shawty sana yani. Dume kalia Prado kama zipoGari ya madem hiyo
Mawazo ya kimaskini, ulishafanya utafiti ujue zile ndinga pale CMC, TOYOTA, CFAO na kwingineko wanaozinunua ni serikali peke yake?Bongo hakuna anayeagiza magari mapya zaidi ya serikali. Hata wabunge hukopeshwa pesa kwa ajili ya magari mapya lakini huishia kununua mitumba ya magari. Harrier nyingi zilizoko nchi ya bongo ni mitumba ya 1998-2002!!!!
Ule Masculine ni zero kabisa,gari ovyo sana hilo.range rover evoque ni moja ya gari nisiyoipenda jinsi ilivyo