Hivi maana ya wazee wa mila ni nini?

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,293
3,965
Hili neno nimekuwa nikilisikia sana kunapojitokeza majanga yasiyo ya kawaida katika jamii fulani.
Imekuwa ni kawaida kusikia wazee wa mila wakiombwa kujitokeza na kufanya chochote ili kuepusha watu na madhara ya janga kwa wakati huo.
Je hawa ni manabii?
Kama ni manabii ni wa nani?Ni waganga wa jadi?Je wana tofauti yoyote na wachawi?
Au nini maana hasa ya wazee wa mila?
 
viongozi au watu wenye heshima katika jamii ambao wanashughulikia na kusimamia mambo ya mila na desturi.

Wanaweza kuwa na jukumu la kuongoza na kusimamia shughuli za kijamii na utamaduni katika jamii fulani.
 
Back
Top Bottom