Wazee wa michuma ya maana mpoo!!?

Hiyo chuma ipo mjini mkuu, jitahidi kuangalia barabara za Masaki,Morocco au Posta.

Kuna watu town wanasukuma ndinga kali wametulia hawana habari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo hakuna anayeagiza magari mapya zaidi ya serikali. Hata wabunge hukopeshwa pesa kwa ajili ya magari mapya lakini huishia kununua mitumba ya magari. Harrier nyingi zilizoko nchi ya bongo ni mitumba ya 1998-2002!!!!
 
Hili ndilo chaguo langu tunapozungumzia magari. Anzia 2014 njoo huku mbele.

Raha jipe mwenyewe.
finds-ir-2017111968082451.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo hakuna anayeagiza magari mapya zaidi ya serikali. Hata wabunge hukopeshwa pesa kwa ajili ya magari mapya lakini huishia kununua mitumba ya magari. Harrier nyingi zilizoko nchi ya bongo ni mitumba ya 1998-2002!!!!
Mawazo ya kimaskini, ulishafanya utafiti ujue zile ndinga pale CMC, TOYOTA, CFAO na kwingineko wanaozinunua ni serikali peke yake?
Kama huna hela usiwasemee watanzania wote...
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom