Sheikh23
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,128
- 1,842
Orodha hiini mtazamo binafsi wa watu ambao ukianzisha nao mgogoro (battle) basi itakubidi jeshi lako ulipange vizuri,la sivyo utasalimu amri,au kuomba msaada (poo) au kusubiri huruma za wananchi kwako,maana mapambano yao ni 'weka ugoko,niweke jiwe' ni nondo baada ya nondo,nadhani mlipata kusikia yule mwandishi alipofunguliwa(ga) kesi ya uchafuzi wa jina (defamation) akaombwa fidia ya Millions of Money,pia utakuwa ulisikia Bi_dada aliyetishiwa kuitishiwa Press baada ya kujichomoa kwenye ndoa,sidhani kama ulipitwa na mgao wa chapisho la matokeo kwa waumini likimhusu kiongozi aliyesemekana kupata Div 0 enzi za usomaji wake
Vita ya Daktari kudai kuonyeshwa Billions of money za mwekezaji ndani ya club kubwa ya mpira ambayo nayeye ni mwanachama,vita hii ilikuwa kali kiasi cha kumfanya muwekezaji kuvua nyadhifa ndani ya club
Ila waswahili wanasema muosha huoshwa,Daktari nayeye hatosahau alipouvaa mziki wa Dokta,battle ilikuwa kubwa,mpaka Dada wa Taifa alinunua kesi,baada ya Dada wa Taifa ku_join upande wa Dokta, kwa kuepuka kuchafuka na vyeo alivyonavyo kwa Gavoo Daktari ilibidi asalimu amri ili vita iishe
1. Membe
2. Gwajima
3. Mange
4. Manara
5. Kigwa
6. Mwaka
7. Ndugai
8. Lema
9.Makonda
10. Mbilinyi Sugu
...............................
Hizo ni baadhi ya stori za miamba hiyo na namna battle zao na mahasimu wao zilivyokuwa.
Nafasi ni yako,ongeza mwamba mwengine ambaye battle zake huwa ni kali na zinateka hisia za watu
#Uzi tayari
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app