Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,340
Huyu nae sijui yupo vipi huko kanda ya ziwa
@ Osaba DAR- TANGA kuna RAHAA LEO nao
Yupo pale iringa kwa MT huwel ana kigari kidogo i.e ki-landcruiser fulani,Ndugu zake walimkataza Asiguse tena Kitu kinaitwa basi la abiria.Huyu jamaa GIRIKI yuko wapi aisee maana alikuwa noma hatari sana huyu jamaaa aisee
@ Zenith. Nalikubali ILASI ya TUNDUMA - DAR. Hapa inachuana na ABOOD ya TUNDUMA ilikuwa anaanza TWIGA. HAPPY NATION. ABOOD. kisha NGANGA NA ILASI. Ila kwasasa kutakuwa na mabadiliki kidogo.
Mkuu ile hood marcopollo iko chini chini route ya mbeya-arusha ndege ya chini ipo siku hizi??na kuna hood moja ilikuwa inapiga dar-tunduma ina mlio mzito jama jama hizi two hoods zilikuwa balaa miaka ya 2002-2009!!
@ COURTESY -Sasa hivi Hood Dar-Tunduma hana chake. Kwanza Abood. Ilasi na New force. ndo afuate Sumry na Hood. kwa Dar- moro. Tena ni Abood. B.M coach ndo Hood. kwa Arusha- Mbeya sina uhakika. Ila Dar- Kyela nako Hood yupo nyuma hata kwa NEW FORCE.
mzaramo halisi, yaelekea wewe ni konda wa mabasi yaendayo mikoani hasa Mbeya.
Hebu tuwekee na picha ya Ndenjela linaloendeshwa na yule dada. Napenda uendeshaji wake.