Foundation
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,420
- 613
Ni wavaa hijabu na vibaraghashia. Wewe hujaona?
Lusekelo je?
Ni wavaa hijabu na vibaraghashia. Wewe hujaona?
Kwa muda mrefu sasa tangu labda hata awamu ya kwanza, nimekuwa nikisikia kuwa Rais ataongea na "WAZEE" wa Dar es salaam. Ikifika siku utaona ukumbi umejaa wakimsikiliza Rais na kuchangilia hasa anapojibu hoja za mbalimbali. Mimi huwa najiuliza
1:Hawa wazee ni wapi? Mbona sijawahi kusikia tangazo linalowaita wazee wa Dar maana pale kwangu nina Mzee wangu na hajawahi kupewa mwaliko. Ndio, MWALIKO, maana Mkuu wa Mkoa wa DSM wakati akitoa ufafanuzu wa kuahirisha mkutano alisema wale waiopata mwaliko waje kwa wingi
2: Sijawahi kusikia wazee wa DSM wamefanya kikao kujadili mstakabali wa nchi na wametoa tamko, au wamemwita Rais kumshauri.
3: Hivi kwingineko mikoani hakuna wazee wa kuongea na Rais?
3. Mbona Rais anatumia mikutano hii kama kujisafisha na kubeza mawazo ya wengine kama juzi alivyobeza wanaharakati.Nikajiuliza mbona hajawahi kufanya mkutano na "Intelectuals" kama Wasomi, wachambuzi, wanaharakati na kuruhusu maswali ili kuliko kusemea "uani" kuhusu wanaharakati ukasemee "sebuleni"
4. Unapozungumza na mtu it's a two way trafic, mbona wazee hawapewi nafasi ya kuchangia? kwa nini kupoteza pesa na muda wa kuandaa mkutano kwa jambo ambalo angehutubia taifa tu.
Kwa mtu ambaye anayeweza kunielimisha niko tayari kujifunza.
Wazee wa Dar wanawakilisha wazee wa nchi nzima hata waliopo Nkasi, Misenyi, Tarime na kwingineko.
Kuhusu huyo mzee wako kutokuitwa ni kwamba sio kila mzee anaitwa yawezekana hana sifa za kuitwa hivyo wewe tulia tuuuu
Watu wengine bana, umeshaambiwa wazee wa dsm sasa unauliza watu gani.kwani huwajui wazee? Na huijui daslam?
6. Kuvaa makubasi au kandambiliLazima uwe mwana CCM pia na uwe na vipaji hivi
- Kuvaa barghashia
- Kupiga miayo
- Kunung'unikanung'unika
- Kupiga matonge vizuri
- KUPIGA VIGELEGELE NA MAKOFI
Waliochoka kimaisha,wasio na mbele wala nyuma!!!
lol, kuna mmoja hapo kashikilia chupa mbili za maji ya kunywa, anaenda kuweka "stock". Umaskini balaa!
Nimemuona na mzee wa upako mchungaji Anthony Lusekelo nae alikuwepo,nimejiuliza bila kupata jibu. Hivi huyu mchungaji nae ni Mzee? Labda utakuwa uzee wa heshima sio wa umri. :bump2:Kuna ulazima wa kuambiwa kuhusu vigezo vinavyotumika kuwapata hao wanaoitwa wazee anaokwenda kuongea nao.[/QUOTE😛eep:
:scared:Pambafu nyamafu wewe,angalia vigezo hapa chini:scared:
1.Lazima uwe gagula
2.Elimu ya darasa la nne au la saba
3.Usiwe unamiliki gari
4.Unaishi nyumba ya udongo na makuti
5.Hujawahi kwenda ulaya
6.Uwe ngiri maji
7.Uwe wmetoke mikoa ya Lindi,Mtwara,Pwani hasa Lugoba na maeneo ya Msata.
8.Lazima uwe gagula.
9.Uwe na wake wawili.
10.Zipo nyingi sana tu, Sifa zingine ongezea na wewe.