Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

Hao Ni Waganga Njaa Na Wajinga Wajinga Walioko Hapo Dar, Kazi Yao Wakishapewa Pesa Ya Kahawa Huwa Wanaunga Mkono Tamko Au Hata Suala Lolote Hata La Kipumbavu Namna Gani.
 
Na Mara Nyingi Hawa Ni Wenyeviti Wa Mitaa Na Mabalozi Wa CCM, Wengine Ni Ndugu Wa Wanufaika Wa Pesa Haramu K.V. Epa, Escrow Akaunt, Richmond Na Meremeta.
 
Pia Elimu Zao Huwa Wengi Wao Ni Ngumbalu Kwani Mara Nyingi Ktk Kikao Hawaulizi Maswali Au Kuhoji, Huwa Wanaletwa Kuja Kunga Mkono Msimamo Na Maovu Ya Chama Chao Kwa Niaba Ya Matumbo Yao Na Njaa Zao Mbaya.
 
Weka tamko Lao hapa uone Kama halijabezi kwenye maendeleo na Amani au kwa vile hamtaki Amani nyie ukawa

ACHA USHAMBA WEWE BATA JIKE, MBONA SIJAWAHI SIKIA WANAKUTANA KULAANI MAUAJI YA ALBINO AU Ukwapuaji Na Wizi Wa Fedha Za Epa, Meremeta, Escrow Akaunt Au Richmond Skendo? Njaa Mbaya Kwa Mnaojiita Wazee Wa Dar Es Salaam, ACHENI KUENDEKEZA MATUMBO NI AIBU YENU.
 
Mkuu wa kaya anatafuta pa kutokea ila naona kama njia zote zimefungwa vile...... Kinachowasumbua sana CCM kwa sasa ni zile pesa za wavuja jasho wa Tanzania walizokwisha kutumbua na wanazoendelea kutumbua kule Dodoma kwenye bunge la katiba ya CCM.Anyway mimi naamini sana kwamba zile pesa hazitaenda bure ni lazima zitawatokea puani 2015 wala sio mbali sana maana zinanuka damu ya watanzania masikini wanaokufa kila siku kwa kukosa huduma za afya. yani hata panadoli ni shida kwenye vituo vya afya ya serikali huko vijijini ila CCM bila huruma wao wanatumbua na kuvimbisha matumbo yao tu
 
wazee wa dar wanawakilisha wazee wa nchi nzima hata waliopo nkasi, misenyi, tarime na kwingineko.

Kuhusu huyo mzee wako kutokuitwa ni kwamba sio kila mzee anaitwa yawezekana hana sifa za kuitwa hivyo wewe tulia tuuuu

atulie hadi lini? Mi naona wazee wa dar ni washabiki wa c.c.m wachache wanaoshangilia hata kwa vitu hatari.
 
Je Wazee Wa Mikoa Mingine Wanasemewa Na Hawa Wanaojiita Wazee Wa Dar.?

KWA UFUPI HAWA WANAoitwa WAZEE WA DSM NI WALE WOTE WANAOTEGEMEA SIASA KUJIKIMU , WALE AMBAO NI WAKAZI WA DSM NA MAENEO YA JIRANI (HASA MKOA WA PWANI ) WALE WASIO NA KAZI NA UNAWEZA KUWAITA KWA GHARAMA YA WALI NA FANTA TU , WENGI NI WAJUMBE WA MASHINA YA CCM ASILIMIA KUBWA HAWAJUI KUSOMA WALA KUANDIKA , KWAO WAO JAMBO KUBWA KULIKO YOTE NI KUONEKANA KWENYE TV BAAASI .
 
ACHA USHAMBA WEWE BATA JIKE, MBONA SIJAWAHI SIKIA WANAKUTANA KULAANI MAUAJI YA ALBINO AU Ukwapuaji Na Wizi Wa Fedha Za Epa, Meremeta, Escrow Akaunt Au Richmond Skendo? Njaa Mbaya Kwa Mnaojiita Wazee Wa Dar Es Salaam, ACHENI KUENDEKEZA MATUMBO NI AIBU YENU.

BILA KUWAANDALIA WALI hata UWAITE KWA BUNDUKI HAWAJI NG'OOO !
 
Pia Elimu Zao Huwa Wengi Wao Ni Ngumbalu Kwani Mara Nyingi Ktk Kikao Hawaulizi Maswali Au Kuhoji, Huwa Wanaletwa Kuja Kunga Mkono Msimamo Na Maovu Ya Chama Chao Kwa Niaba Ya Matumbo Yao Na Njaa Zao Mbaya.

wengi WAO HAWAJUI KABISA KUSOMA NA KUANDIKA , NI WATU DUNI MNO , NA WANAISHI KWENYE MAPAGALA YA URITHI YALIYOJENGWA KABLA YA UHURU !
 
Hayo yote UKAWA hawataki Amani nchi hii ilimradi mtafaruku utokee tuu


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Wazee wa DSM ni wale wazee masikini wote jijini DSM
 
hao wazee ni wale wanaopewa sh,5,000 kila mmoja mara baada ya JK kuwahutubia na kurejeshwa makwao ni sawa na mikutano ya CCM mikoani ambako mamia ya watu husombwa kutoka sehemu mbalimbali kujaza uwanja, na ukiwatazama kwa makini wanapiga makofi hata pale ambapo hapahitaji kupiga makofi kwa ufupi hawana tofauti na bendera ambayo kazi yake ni kufuata upepo unakoelekea
 
Ni ufinyu tu wa akili na na ujima ujima tu. Kwani nchi hii ina protokali za kihivyo? Wazee wa DSm as if ndio ikulu yetu. Mbona asiseme wazee wa Shinyanga?
 
Back
Top Bottom