Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

wazee hao wanapatikana Ijumaa tu? siku zingine hawapatikani? wanaalikwa vipi kuja ukumbini? kigezo cha kukubalika hadi uingie ukumbini ni ninni? kama ni mkutano wa kawaida mbona wanapewa Viposho?
 
Am glad my oldman is not one of them.........

379135_291077990931762_100000886912967_831391_1156534665_n.jpg

Hawa wazee wangekua wanatoa kiashiria kwamba wao ni wa upande ule mwingine wa dini. Ungesikia malalamiko kila kukicha, wanapendelewa wanapendelewa. Ila hapo kwao roho kwatuuu. Mbele ya pilau tena..
 
Wazee wa Dar Es Salaam ndio vinara wa kudai Uhuru wa nchi hii, wengi wao wametangulia mbele za haki lakini wameacha historia isiyosahaulika na hekima zisizofutika.
 
RAIS kagoma kuongea na hao wazee sijui kwa nini
taarifa za chini kwa chini haongei tena na hao wazee wa ccm!
:lock1::lock1::lock1::scared:
 
Ngoja siku ataokwenda kuongea na wazee wa Moshi kina Alex Masawe. kwi kwi kwi.
 
naomba ccm isiwaite tena wazee kwenye huu mkoa ,je wakipata ajali itakuwaje?
 
Ndiyo siku wanayopatikana kiurahisi baada ya swala ya ijumaa.

Hata nyerere alikua akiongea na wazee wa Dar-es-salaam siku ya Ijumaa! Tulia hapa hapa nakuletea nyuzi,******** weeee, umeshindwa na mada unajihami kwa kasumba ya UDINI!!
 
Huu ni unafki mtupu kwa serikali ya JK na wapambe wake! kama ni kweli anawadhamini wazee je alifikia wapi na wazee hawa wa ilyokua jumuia ya Afrika Mashariki wakati wakidai hela zao pale waliposhinda nje ya mahakama na sijui mpaka sasa hivi ni hatma gani JK aliifanya kuwalipa hela zao??
004.JPG
005.JPG
 
kama anataka kuongea na makundi ya wanajamii mbona hatumsikii akiongea na vijana?
 
Jana mlitupa habari kuwa Mh JK leo atazungumza na wazee wa Dar tujuzeni kinachoendelea kwa wale mko dar!!
 
Waganga njaa flani hivi,
Wamechokachoka,
Kutwa Kucha kushinda kwenye Bao.
Hawa wazee, kama mmojawapo ni Mzazi wako utakua umepotea sana, Na isitoshe kuna kila dalili wewe ni kibaka, mpiga debe, dalali au hata konda tena deiwaka.
Pia kama mmojawapo ni Baba yako, ni wazi kua kwenu mmezaliwa zaidi ya kumi na tano huku aliesoma sana kafika form four.
Hawa wazee ni wale ambao hata akiamua kwenda kusalimia kijijini kwao, basi havuki sana nje ya DSM, labda akivuka sana basi Mkoa wa Pwani na Pengine labda Kilwa.
Nasikitika sana wengi wao tuko Imani moja kidini, ila sijui kwa nini wameamua kua na misimamo yao ya Kiajabu ajabu.
Ni wazee ambao ukikutana nao barabarani kama hujamsalimia lazima ushtuke hata kuogopa, maana usiku "utaipata"
Wengi wao kwa sasa hutegemea kodi ya Nyumba kuishi, lakini Bahati mbaya sana maeneo wanayomiliki Nyumba ni yale ambayo kodi ya chumba inaweza kua labda alfu 20.
Kifupi hao ndio wanaoitwa "Wazee wa Mkoa wa DSM"
 
Lazima uwe mwana CCM pia na uwe na vipaji hivi
  1. Kuvaa barghashia
  2. Kupiga miayo
  3. Kunung'unikanung'unika
  4. Kupiga matonge vizuri
  5. KUPIGA VIGELEGELE NA MAKOFI
Niongezee lazima uwe mwanachama wa klabu ya Saigon,mcheza dhumna
 
Back
Top Bottom