Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

hao wazee ni wale wanaopewa sh,5,000 kila mmoja mara baada ya JK kuwahutubia na kurejeshwa makwao ni sawa na mikutano ya CCM mikoani ambako mamia ya watu husombwa kutoka sehemu mbalimbali kujaza uwanja, na ukiwatazama kwa makini wanapiga makofi hata pale ambapo hapahitaji kupiga makofi kwa ufupi hawana tofauti na bendera ambayo kazi yake ni kufuata upepo unakoelekea[/QUOTE ni kweli hao wazee wanaganga njaa
 
Wakuu mliopo mjini naombeni kujua kuhusiana na hawa wazee ni watu wa aina gani katika kupambqnua mambo
Maana naamini sisi huku kwetu kijijini wazee wengi wapo katiki imani ya cuf na chadema kimawazo na wanapenda sana mabadiliko kwa ajili ya taifa la kesho ......
Naomba kufahimisha juu ya hawa wazee...
 
Agano la Bagamoyo hilo Mkuu, liliwekwa na Ganze na akina Yahya.
^^
 
1. Je ni wapi pa kijiorodhesha kama wewe ni mzee?2. Kwa kwa njia ipi wanaalikwa kwenye mikutano hiyo?3. Kama hivi ilivyo akhirishwa, wanajulishwa vipi?4. Je huwa wanapata posho, au kiinua mgongo wanapohudhuria mikutano hiyo?5. Je na mimi nikiwa ni mzee naruhusiwa kuhudhuria au kuna kuchujwa mlangoni?
 
Hawa wazee hukumbukwa wakati wa matatizo tu, ila ukiwadia muda wa kuzigawana zile za Tegeta ESCROW huwa hawahusiki kabisa.

a1.jpg
 
Ungeanzisha thread nyingine mkuu.
Mleta thread anataka kujua: [size=+2]'Wazee wa Dar es Salaam ni wa chama gani?'[/size]
 
Hawa wazee hukumbukwa wakati wa matatizo tu, ila ukiwadia muda wa kuzigawana zile za Tegeta ESCROW huwa hawahusiki kabisa.

a1.jpg
Sasa huwa wanapatikanaje? Maana hakuna uwazi wa namna ya kuwapata hadi kuwakutanisha na rais. Je kuna fomu maalumu za kuomba kuwa miongoni mwa waalikwa, je kuna tangazo linatolewa, umri na jinsia huwa vinazingatiwa au wanachukuliwa kwa itikadi za kichama maana wanaoitwa cha kwanza kufanya ni kutafuta vilemba na magwanda ya kijani. Hao hapo juu mimi naona ni wazee wa CCM
 
Nitafurahi siku akienda kuongea na wazee wa kaskazini
ukiangalia sana apo ni wazaramo tupu na wakwere
 
Hili ni kundi la watanzania linaloaminika kuwa na watu wajiiinga kupita wote tanzania na ambao uchungu wao kwa nchi waliupoteza siku nyingi sana. Wanahitaji bahasha tu kuja kugeuka ubao. Ni watu ambao hawana uwezo wa kuhoji zaidi ya kupiga makofi na kushangilia. Huo ndio ubao wa kikwete
 
1. Je ni wapi pa kijiorodhesha kama wewe ni mzee?2. Kwa kwa njia ipi wanaalikwa kwenye mikutano hiyo?3. Kama hivi ilivyo akhirishwa, wanajulishwa vipi?4. Je huwa wanapata posho, au kiinua mgongo wanapohudhuria mikutano hiyo?5. Je na mimi nikiwa ni mzee naruhusiwa kuhudhuria au kuna kuchujwa mlangoni?

Ha ha ha ha ha! Hii ni JF bhana. Maswali magumu yenye mantiki!
 
Hawa wazee hukumbukwa wakati wa matatizo tu, ila ukiwadia muda wa kuzigawana zile za Tegeta ESCROW huwa hawahusiki kabisa.

a1.jpg

hawa walikusanywa kwa usafiri gani ? Mbona kule nje naziona fuso kadhaa ?
 
1. Je ni wapi pa kijiorodhesha kama wewe ni mzee?2. Kwa kwa njia ipi wanaalikwa kwenye mikutano hiyo?3. Kama hivi ilivyo akhirishwa, wanajulishwa vipi?4. Je huwa wanapata posho, au kiinua mgongo wanapohudhuria mikutano hiyo?5. Je na mimi nikiwa ni mzee naruhusiwa kuhudhuria au kuna kuchujwa mlangoni?

kwanza nakupa onyo , kama wEwe si mwanaccm huruhusiwi kuhudhuria ( angalia picha inayotembea hapa walivyojipachika miguo ya kijani ) , KINGINE NI KWAMBA MALIPO YAO YAPO NI WALI NA FANTA TAKE AWAY ( HII NI KWA WATAKAOWAHI TU )
 
Wazee wa Unguja na wazee wa Pemba nao wanataka haya mazungumzo na Mkulu, kila siku Tanganyika tu na huku Zanzibari aje.
 
Hawa wazee hukumbukwa wakati wa matatizo tu, ila ukiwadia muda wa kuzigawana zile za Tegeta ESCROW huwa hawahusiki kabisa.

a1.jpg
Mwingine huyu hapa
 
Attachments

  • attachment-13-2.jpg
    attachment-13-2.jpg
    7.6 KB · Views: 1,832
Back
Top Bottom