Konakali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 1,533
- 263
Siku moja nikiwa nimekaa na wanawake wawili, stori ilianza na ghafla tukaingia kwenye swala la watoto wa nje ya ndoa....! Cha kustaajabisha ni kwamba hawa wanawake walinibishia kabisa kuwa inawezekana mkeo akalala na mwanaume mwingine; mfano asubuhi au leo, na mimba ikatungwa...! then jioni au kesho akakuletea nawe ukiendelea kubanjua basi yule mtoto atafanana nawe fika, japo si wako!!!!!!!
Siku nyingine mwingine naye akaja na jipya!!! Huyu alidai kuwa inawezekana mtoto kufanana kabisa na mtu ambaye mama alikuwa akimfikiria sana kipindi cha ujauzito wake, hata kama yule mtoto hana hata uhusiano wa damu na huyo mtu.....!!!!!!
Nilisafiri hadi kule S'wanga, huko nikakutana tena na ubishi mwingine wa aina yake...! Hii pia ni kwamba eti mwanaume akimlea mtoto asiyewake basi huenda yule mtoto baadaye akaja kufanana hadi kwa sura na yule mbaba.....!!! Japokuwa si wakwake...!!!
Sasa mimi niko :confused2::confused2::confused2: kwelikweli....! Wenye uzoefu watusaidie hili....