Wazee mtusaidieni hapa...........

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Siku moja nikiwa nimekaa na wanawake wawili, stori ilianza na ghafla tukaingia kwenye swala la watoto wa nje ya ndoa....! Cha kustaajabisha ni kwamba hawa wanawake walinibishia kabisa kuwa inawezekana mkeo akalala na mwanaume mwingine; mfano asubuhi au leo, na mimba ikatungwa...! then jioni au kesho akakuletea nawe ukiendelea kubanjua basi yule mtoto atafanana nawe fika, japo si wako!!!!!!!

Siku nyingine mwingine naye akaja na jipya!!! Huyu alidai kuwa inawezekana mtoto kufanana kabisa na mtu ambaye mama alikuwa akimfikiria sana kipindi cha ujauzito wake, hata kama yule mtoto hana hata uhusiano wa damu na huyo mtu.....!!!!!!

Nilisafiri hadi kule S'wanga, huko nikakutana tena na ubishi mwingine wa aina yake...! Hii pia ni kwamba eti mwanaume akimlea mtoto asiyewake basi huenda yule mtoto baadaye akaja kufanana hadi kwa sura na yule mbaba.....!!! Japokuwa si wakwake...!!!

Sasa mimi niko :confused2::confused2::confused2: kwelikweli....! Wenye uzoefu watusaidie hili....
 
Mmhhhhh :confused2:
 
Hizo ni porojo bana wewe,Kuna kitu kinaitwa scientific evidence DNA, Na biological facts, mengine ni porojo za watu wasioenda shule!!Achana nao!:mad2:
 
Genetics na hadithi za hao wakina mama haviwezi kuendana hata kidogo.Na kama Kaka Jambazi alivyokuambia ndivyo ilivyo.
 
nchi hii kuna kila imani.. unaweza ukaambiwa ukikojoa usipotema mate basi utaumwa tumbo, ukijikuna unyayo utasafiri... ukigeuza nguo una bahati, ukijikwaa mguu wa kushoto una gundu, ukimuota mpenzi wa zamani sijui ufanye nini nk.

Lets go advanced, siku hizi kila mtoto hata kama huna hisia wa nini ni pupima DNA kwisha!!
 
Jambo!! asante kwa hii.. Usiogope sana wala usiwakatalie.. ni kweli tupu. na ushahidi wa kwanza,, umethibitishiwa na kina mama. wahusika wa kutuzalia watoto wasio wetu. Jambo la pili ni ile kumfananisha mtu. wapo watu wanaofanana sana japo sio wa jamaa moja.. Jambo la tatu ni kwamba hata sasa wapo watoto wanafanana na baba, ila vipimo vya DNA Vimethibitisha sia baba wa mtoto. Na hapo kwenye mtu ambaye mama anamfikiria sana ni uthibitisho kwamba hata ukikataa mimba! bado mwanamke anabaki akikufikiria sana.. na yule mama wa nyumbani humrithisha mtoto hata tabia za baba na rangi na harufu,, japo sio kwa kiasi kikubwa kama umbo la kichwa.. ajabu zaidi ni pale unakuta mtoto sio wa mama wala baba! unaweza badilishiwa mtoto wakati wa kuzaliwa kama hakubadilika sana rangi! mnalea tu. bora ulitaka wa kiume au wa kike!! Wengine nasema pima DNA,, kwa sababu hapana jua hali yao.. mimi nasema ngalia kwanza wewe kama unayo mbegu nzuri, kabla ya DNA. Baba ingine kiwanda ya kutengenza mbegu, haribika samani kwa Kaswende au kwa sida ingine. hamtaki tuitwe baba. vamama ingine sababu ya uaminifu yao wameitwa vagumba!!! sasa niniiiiiiiiiiiiiiii.,./
 
Yaelekea hao wanawake ni mahodari wa kubambikiza. Nachodhani hapa na kitu ambacho hawajui ni kuwa wao hupenda kungonoka nje ya ndoa na wanaume waliofanana na waume zao so that in case of anything (mimba) pasiwe na mjadala sana. Pia wakitaka kuthibitisha dhana (hypothesis) yao wadake mimba ya mchina, mwarabu, mhindi au mzungu tuone jinsi hiyo evolution inafanya kazi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom