Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,190
- 21,324
Tunatengeneza kizazi lege lege ,mtoto anatakiwa kugangamala na kujua kuchambua Mambo ,kujua kujitafutia maarifa .....Umasikini si sifa
Hizo shule zimekaa kuwatoza wazazi mamilion ya pesa ,kununua mitihani ilimradi tu waonekane wamefaulu ....
Ndio maana tukikutana nao vyuoni Hao waliosoma za njano hawana maajabu kabisa ,Tena wanakuwa na supp za kutosha ,kwanze wengine hata vyuo vinawashinda maana walishazoea kutafuniwa ,wakati chuoni Ni kukomaa wewe kama wewe kufanya research,na kujitafutia maarafi ,kudefend research ,kufanya presentation mbali mbali ....