Haya ndio matokeo ya mwanangu darasa la saba nimefarijika sana

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
792
1,266
Kiswahili - A,
English - A,
Maarifa - B,
Hisabati - A,
Science - A,
Uraia - B,

Average Grade - A

Amemaliza katika shule ya English medium

Mimi baba yake ni kichwa zaidi yake ila matokeo yangu hayakuwa mazuri Kwa sababu ya hali ya maisha magumu ya familia yangu

Ni kama vile nilikuwa najisomesha mwenyewe maana sare za shule na viatu nilivyo nunuliwa na wazazi ni zile nilizovaa siku napelekwa kuanza darasa la kwanza Baada ya hapo nilijinunulia mwenyewe Kila kitu hadi namaliza darasa la saba

Huko secondary na advance ndio kabisa nilikuwa nauza maji Ili kupata naurli ya shule na mahitaji mengine ada zote nimelipa Baada ya kumaliza advance ndio nakachukua vyeti vyangu ada ilikuwa elfu 20 Kwa mwaka lakini bado familia yangu ilishindwa kulipa

Ila bumu la chuo ndio lilinifariji na kunifanya nisome chuo bila ya stress

Ila elimu niliyoipata sio elimu Bora naamini hilo 100% Yani nilikuwa nafaulu tu Kwa sababu Nina akili nyingi

Nikajiapiza watoto wangu sitaki wapitie haya na sitaki wasome kayumba kama Mimi baba yao
 
Shulen kwao hawakupewa majibu?

Ila sishangai, siku hizi hata Kidato Cha Nne, mtu anapata Div One alafu ana F ya Hesabu.
 
Hongera sana Mkuu, endelea kumlea Kijana wetu kwenye nyendo zinazompendeza Mwenyezi Mungu.
 
Hongera, yupo kwenye 3% ya waliopata A
 
Kuna mtoto anaefeli darasa la saba miaka hii???

Kama mwanao yupo english medium schools na hana A hata moja basi huyo ni kiliza plus plus plus. Hamna changamoto yoyote na bado dogo afeli

Hata dogo awe kilaza namna gani matokeo yake lazima yawe njema kwenye hizo shule.
 
Hongera ingawa safari bado ndefu sana.
 
Shulen kwao hawakupewa majibu?

Ila sishangai, siku hizi hata Kidato Cha Nne, mtu anapata Div One alafu ana F ya Hesabu.
Matokeo ya siku hizi yananipa mashaka sana. Kuna mtoto wa kike wa kaka angu nishamsaidia sana masomo yake akiwa nyumbani kichwani ni empty kabisa lakini form 4 alipasua. Ingawa ni jambo zuri lakini kuna kengere ya hatari ililia kichwani
 
Kuna mtoto anaefeli darasa la saba miaka hii???

Kama mwanao yupo english medium schools na hana A hata moja basi huyo ni kiliza plus plus plus. Hamna changamoto yoyote na bado dogo afeli

Hata dogo awe kilaza namna gani matokeo yake lazima yawe njema kwenye hizo shule.
Kuna siku nilimkuta mwalimu akisahihisha mitihani.ya wanafunzi wake.

Utaishia kucheka.

Madogo hata kuandika Railway au Mosque hawawezi.

Hata Play ground inawashinda.
 
Back
Top Bottom