Wazazi/walezi tukutane hapa

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,410
2,159
Habari wakuu.
Tumekuwa tukikutana kwa anuani ya wauza nyumba,viwanja na kadhalika.
Leo hii, naomba wazazi au walezi hususani wenye wanafunzi wanaosoma kutwa tukutane hapa na kujadili changamoto zinazowakuta watoto hawa walio chini yetu.Pia tujadili ufumbuzi rahisi wa kuweza kutatua changamoto hizo. .
Kikubwa taja ni changamoto ipi inakuumiza kichwa zaidi kuhusu mwanao.
KARIBUNI.
UPDATE:Unaweza kujiunga kwenye group la whatsap kwa link ifuatayo:

WAZAZI NA WALEZI
 
Na sisi wanenu tunaweza kujiunga ili mbinu mtakazokua mnapanga kuhakikisha tunasoma vizuri tuweze kuzinyaka juu kwa juu
 
Mimi bado mdogoooo

Nikiwa mzani nita-subscribe hapa. Kwaherini kwa sasa ila sina uhakika kama yule binti sijamtia mimba, nahisi hisi kama amenasa
 
Back
Top Bottom