Wazazi adhabu hizi hazifai kwa watoto.

nilifika mahali nikakakuta katoto ka kiume kalichookotwa kanalelewa hapo na huyo mama.

nilivyofika kakawa karibu sana na mimi, kila kakiniona kananikumbatia kanafurahi kweli.

akija mama kanapoaaa!!

nikaa kaa nacho nikawa naongea nacho taratibu, kalikuwa kana mengi sana moyoni, ni kadogo lakin kanaongea mpaka kanalia.

he was very honest na hana tatizo.
Aisee! Mtoto akimuona mbaya wake huwa ana cease kabisa.
 
daaah hiyo ya kumchoma moto mtoto mikononi niliona dada yangu alimchoma mtoto wake mikono kisa mtundu, hadi leo mtoto anamakovu ukimuuliza anakwambia mama alinichoma,
Ujinga ulioje huo. Mwingine alichomwa na mjomba wake eti mlafi!! Kuna watu wana mioyo migumu hatari.
 
Back
Top Bottom