JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
GHIBUU said:Bila ya tanganyika hakuna muungano ndioo maana tukasema tuwe na serikali tatu,hata hivyo tunaweza kuwa na serikali tatu lakini ikawa serikali ya tanganyika kama boshan tu na badala yake serikali ya muungano ikawa bado still imebeba mamlaka ya zanzibar,lakini mimi naona kuuvunja muungano ni bora zaidi,,,upo muungano wa EAC utatuunganisha tena ,,,ila udugu wetu wa family upo hautotunganisha ila kiuchumi ndio tunataka tujikwamuee..
GHIBUU,
..fikira kama hizo za hapo kwenye RED ndizo zitakazowakwamisha wa-Zanzibar.
..sidhani kama serikali 3 zitajibu kilio cha wa-Zanzibari.
..lazima ujiulize hiyo serikali ya muungano itakuwa na madaraka gani. pia lazima ujiulize kama kuwepo kwa serikali ya muungano kutaiongezea SMZ madaraka yoyote yale.
..muundo wa serikali 3 ninavyouelewa mimi ni kwamba utaipunguzia serikali ya muungano majukumu yake juu ya Tanganyika. kwa maneno mengine sisi wa-Tanganyika tutapata serikali yetu yenye sura na majukumu kama yale ya SMZ.
..sasa labda niulize serikali 3 zitawaongezea nini wa-Zanzibari??
..kwa mtizamo wangu what Zanzibar needs can not be attained ndani ya muungano wa serikali 3.