Wazanzibari wapanga kufanya mandamano 1/4/2011 kisa wamechoshwa na Muungano

Status
Not open for further replies.
Kashindwa baba yako nyerere kuifanya mkoa kafanya kila juhudi lakini wapiiiiiiiiiiiii. yagujuu haitokuwa mkoa mungu yupo sio asumaniii
gibbu usimwambie yagujuu mwambie fuduleee kwamana hajui anenacho wala atendacho.
 
Sauti:Kongomano la katiba – 05 March 2011 | MZALENDO.NET

Siku ya Maandamano.
Maandamano yamepangwa kufanyika siku ya Ijumaa .... Ijumaa ni siku ya mwisho wa wiki, itakuwa muafaka kwa Wazanzbibar wengi kuweza kushiriki. Vilevile itakuwa ni wiki nne kabla kufanyika sherehe za Muungano hapo 26/04/2011. Wale walioko makazini tunaomba waombe likizo zao mapema ili waweze kushiriki.

Hapa wanaficha ficha ukweli.. Ijumaa ni 'Day of Rage'. Huu ni mwendelezo wa kiharakati (.. sijasema wa kidini jamani ..msinihukumu) kama tilivyoona Misri, Gaza, Lebanon, Algeria na kwingineko
 
Tarehe 01/04 ni siku ya MAJUHA duniani, kumbe bora siku hiyo niende Loliondo kunywa dawa ya kuondoa umasikini wangu!
 
1-4-2011 Wajinga wataandamana siku ya sikukuu yao April Fool mwisho wa sikukuu huwa ni saa nne mornie. baada ya hapo sio tena masihara kama wamepanga mida ya mchana Sikukuu itakuwa ishaisha
 
Nonda,

Kwanza si jambo jema kuwatukana watu kuwa ni WATU WAZIMA wakati huko tunafahamu wanaenda Jando kama kawa.

Inabidi useme kuwa ni watu wa MAKAMO. Hapo nafikiri tunaenda pamoja sasa maana wote tumetukana (Kwa maelezo yako).

Kwa sasa Tanzania tuna matatizo ya msingi kuyashughulikia. Wao wanafikiri wakijitenga basi Hela zitatoka Uarabuni ambako na wao sasa wanakaliwa kooni na watu wao. Watakuwa busy kushughulikia matatizo yao na si ya Wazenji.

Kinachoniudhi kama wengi wanavyosema, ni kwao kuzunguka mbuyu. They should stop beating around the bush. Wakiona hawafaidiki na Muungano, basi si waombe tu uvunjwe?

Wasiwasi wangu ni kuwa hawa jamaa, watakuja kuishia kupigana na kuanza kuja kama Wakimbizi Tanganyika. Tutaanza tena kuwagharamia hela nyingi kama Serikali na kama ndugu. Najua utasema "wewe hutafanya" ila ukweli ni kuwa yatakuwa yaleyale ya Comoro. Utasikia tu Rais fulani kapeleka majeshi yake Zenji. Tutaingia gharama kubwa sizizo na miguu.

Kibaya zaidi ni kuwa hao hao wanaolilia na NYONGEZA ya keki kila siku, utakuta ndiyo wamejenga mahekalu yao hapo Dar na pembezoni mwake. Wanatumia vitisho vya kuvunja muungano ili wazidi kufaidi vya bure. Dawa ni Rais mmoja aje na kuwaambia siku moja......."Haya Bandugu, mjipange vizuri na mkishakuwa tayari, baada ya mwaka mmoja mnakuwa NCHI HURU...." Utasikia hapo wanavyoanza kung'aka kuwa hawataki Muungano uvunjwe ila wapewe tu NGUVU zaidi kwenye Muungano.

Nikisikia Muungano UMEKUFA basi itakuwa furaha sana. Kwanza bungeni, CUF hawatukuwepo tena kuibeba CCM. Mzigo wa serikali ya Zenji wataubeba wao. Umeme wetu hatimaye watalipia. Wapemba wengi watarudi kwao na hata wakiwa Dar, basi itabidi walipie VIZA na nyumba pale Dar zitapungua bei na foleni za Dar hawa watu wakiondoka, kwa asilimia fulani zitapungua.

Kuna faida nyingi sana za kuvunja muungano kuliko kubaki nao hawa Watoto wetu wakilialia kila siku utafikiri MENO ya UTOTO yanaota. ZENJI, Grow up guys!!!!!

EAC sidhani kama watataka kuingia tena maana wao watakuwa sehemu ya Muscut sijui au Dubai kama siyo UAE.
Mkuu .
Kwanza, Si jambo jema kuwatukana watu wazima wenzako.

Pili mchango wako umejaa utata mwingi...unaitaka Tanganyika lakini unawaita "looser"

Utapika pilau lakini unawakejeli kuwambia waandamane kupinga ufisadi badala ya Muungano.

Unawambia wana "bwana zao mascut"...jamani lugha gani hii....
Tuwatie nguvu watende kwa vitendo ili tupate yetu au huitaki?

By the way tutakutana nao kwenye EAC, kama ndugu na washirika wa zamani. and life will go on!
 
Mkuu,

Si unaona na kusikia Operation Sangara? Unafikiri sisi tunasubiri Wazenji?

Sasa hivi hao wote wanailaani Chadema kwa sababu wanajua kuwa Chadema wakiingia, watatolewa uvivu.

Wataambia wasuke au wanyowe. Hapo ndipo KEKI yao itaota mchanga.

Hatujalala fofofo. Ila ni watu na akili zao na tunaenda Step by step. Time will tell. Wazenji na ungangari wao, inapokuja kwenye kufanya kweli basi huwa wanalala chali kama Mende. Ndiyo maana hata idadi ya wabunge imeshuka. Nguvu zao ni kama Soda...... wape dakika tano, utaona kimyaaaa.......... Wameishia kujiwekea mikataba na CCM ili na wao wawe watawala KIVULI. Cha muhimu wamepewa Magari, nyumba na ulizi, Maalimu kaachia kila kitu na kuwauza akina Lipumba huku bara.
hakika nenda sikonge ukarine asali,unasubiri wazenj waikomboe zenj nawe upike pilau,hakika wewe nidhaifu unataka utafuniwe umeze,wenzio wako duniani wewe upo ulimwenguni,nirahisi wao walioko nje kufikisha ujumbe kuliko hapa tz media inabana,mkuu wazenj wameamka zamani wakati sisi wadanganyika bado tumelala fofofo.
 
Wengine tunaandamana maisha magumu na ufisadi, wenzetu wanajadili Muungano tu.....

Hao ma Bwana zao huko Muscut wanaandamana kudai utawala bora.

Wao mchawi wao ni Muungano. Kaazi kwelikweli.

Wakivunja Muungano, NTAPIKA PILAU la NGUVU kusherehekea UKOMBOZI wa kwanza wa Tanganyika.

Ntasubiri wakianza kuzichapa Unguja na Pemba na mwisho Waarabu na Waswahili....... Hapo watakuja na kupiga magoti Tanganyika iwasaidie. Dawa hapo ni kuwaambia kuwa sasa MNAKUWA ki-MKOA na si Nchi.

LOOSER.
Tatizo au shida ndiyo inayosababisha watu waandamane na kwa upande wa Zanzibar mfumo wa Muungano ndio shioda kubwa kuliko ufisadi , Dowans na kupanda bei ya sukari.
 
Wengine tunaandamana maisha magumu na ufisadi, wenzetu wanajadili Muungano tu.....

Hao ma Bwana zao huko Muscut wanaandamana kudai utawala bora.

Wao mchawi wao ni Muungano. Kaazi kwelikweli.

Wakivunja Muungano, NTAPIKA PILAU la NGUVU kusherehekea UKOMBOZI wa kwanza wa Tanganyika.

Ntasubiri wakianza kuzichapa Unguja na Pemba na mwisho Waarabu na Waswahili....... Hapo watakuja na kupiga magoti Tanganyika iwasaidie. Dawa hapo ni kuwaambia kuwa sasa MNAKUWA ki-MKOA na si Nchi.

LOOSER.
Mbona huna haja ya kusubiri vita vya kikabila kwani tayari mnavyo Tarime, Loliondo, Arusha na mwahala mbalimbali huko Bara?
 
Mkwere anashughuli mwaka huu, Bara maandamano ya ukali wa maisha, Znz maandamano ya kuhusu muungano kweli mkwere na ccm yake atapona hapo? Tunachohitaji ni Tanganyika yetu iwe na Maendeleo sio ufisadi mungu tujaale tupate uhuru kujitoa kwenye ukoloni wa ccm

Sina uhakika kuwa Watanganyika wanaitaka! Naona hata CHADEMA walishitushwa na mabadiliko ya Katiba ya Zanzibar badala ya kushangiria wanadai kuvunjwa kwa Katiba.
 
Tokeni wala, hatuwataki, mkiondoka tu, tunaweka visa, 1000 USD kwa Mzanzibar kukanyaga bongo, tena inakuwa refered visa (visa rejea). Waiteni na wapemba wote walioko Tanganyika warudi kwenu kabla hamjajitenga maana tutawafanya kitu kibaya. Na baada ya hapo mtafanya biashara zenu na Kenya na wala msiote kuwa mtatumia tena soko ka Tanganyika kuuza bidhaa zenu kukuu mnazitoa Arabuni na kuzimwaga Tanganyika na hilo mjue mapema kabisa. Nafikiri bora muungane na Wakikuyu na Wajaruo maana wao ni watu wa shari na migogoro kwa nyie mtaishi vizuri sana, au mwalikeni mwarabu mtawala wenu arudi maana tunajua hamwezi kusimama peke yenu. Tunashindwa kujadili mambo ya muhimu Tanganyika tunabaki kujadili Zanzibar yenye population kama jimbo la Ubungo, hebu ondokeni mnaspoil vision ya nchi yetu.
 
ha ha haa! Wewe na wenzio wenye mawazo kama yako nyote punguani. Andamaneni, nadhani mnatuchokoza watanganyika. Siku mzuka ukipanda tunawafutilia mbali. Hamna chochote mnachochangia Tanganyika zaidi ya kutuongezea umasikini. Sikia, mdai kujitenga ndio itakua safi. LOOSER !
Naona lugha yako kama zoba vile hujui unataka nini wala unachoongelea nini? Kama wewe si punguani basi ungekuwa mwerevu wa kujuwa" Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi" Nyie wenyewe mnaandamana kwa shida basi mkiutuwa mzigo kama unavyodai si itakuwa nafuu kwenu?
 
Tokeni wala, hatuwataki, mkiondoka tu, tunaweka visa, 1000 USD kwa Mzanzibar kukanyaga bongo, tena inakuwa refered visa (visa rejea). Waiteni na wapemba wote walioko Tanganyika warudi kwenu kabla hamjajitenga maana tutawafanya kitu kibaya. Na baada ya hapo mtafanya biashara zenu na Kenya na wala msiote kuwa mtatumia tena soko ka Tanganyika kuuza bidhaa zenu kukuu mnazitoa Arabuni na kuzimwaga Tanganyika na hilo mjue mapema kabisa. Nafikiri bora muungane na Wakikuyu na Wajaruo maana wao ni watu wa shari na migogoro kwa nyie mtaishi vizuri sana, au mwalikeni mwarabu mtawala wenu arudi maana tunajua hamwezi kusimama peke yenu. Tunashindwa kujadili mambo ya muhimu Tanganyika tunabaki kujadili Zanzibar yenye population kama jimbo la Ubungo, hebu ondokeni mnaspoil vision ya nchi yetu.
Lugha kama hii isingetamkwa na mtu anaejiamini kuwa hakosi kitu kwa kuondokewa na mzigo! Kutunisha mapuwa huko ili tuogope? La tulikwishaanza na Katiba na sasa wananchi ni zamu yao kuwaunga mkono viongozi wao. Tunataka kieleweke kwani Zanzibar haikuja baada ya Muungano na tafuta sababu za Muungano huo jee kulikuwa na sababu yoyote ya kushindwa kujiendesha wenyewe?
 
Mkuu,

Si unaona na kusikia Operation Sangara? Unafikiri sisi tunasubiri Wazenji?

Sasa hivi hao wote wanailaani Chadema kwa sababu wanajua kuwa Chadema wakiingia, watatolewa uvivu.

Wataambia wasuke au wanyowe. Hapo ndipo KEKI yao itaota mchanga.

Hatujalala fofofo. Ila ni watu na akili zao na tunaenda Step by step. Time will tell. Wazenji na ungangari wao, inapokuja kwenye kufanya kweli basi huwa wanalala chali kama Mende. Ndiyo maana hata idadi ya wabunge imeshuka. Nguvu zao ni kama Soda...... wape dakika tano, utaona kimyaaaa.......... Wameishia kujiwekea mikataba na CCM ili na wao wawe watawala KIVULI. Cha muhimu wamepewa Magari, nyumba na ulizi, Maalimu kaachia kila kitu na kuwauza akina Lipumba huku bara.

Sawa wenye hatuwa ni nyie tu na kwa hatuwa hizohizo mtashuhudia harakati za Wazanzibari huku hamna la kufanya. Povu la soda si kwa Wazanzibari tu hata kwa hao CHADEMA, si waliropokwa Katiba ya Zanzibar ilipobadilishwa? Hatujawasikia hata huko Bungeni kulitaja hili kama walivyojilabu hapo mwanzo!
 
Sauti:Kongomano la katiba – 05 March 2011 | MZALENDO.NET
Wananchi, wazalendo, wapenda amani, maendeleo na utaifa wa nchi yetu ya Zanzibar.
Kufuatia mjadala wa Katiba Mpya unavyoendelea, mengi yamefichuliwa dhidi ya muungano wetu uliodumu kwa miaka 47. Pamoja na nia njema wakati wa kuasisiwa muungano wanchi mbili, Tanganyika na Zanzibar, kiukweli sasa hivi hali haiku hivyo.
Tumeshuhudia wanansheria wetu, mara kwa mara, wamekuwa wakitoa dosari zao zinazoonyesha kupotea kwa nia njema iliyokusudiwa. Miongozi mwao ni pamoja na kutamka bayana kuwa muungano huu kisheria haipo tena, kilichobaki ni kinadharia tu.
Hivyo basi, ni wakati wetu sote kwa pamoja kuungana katika kudai haki yetu kama raia watiifu kwa taifa letu pamoja na kudai haki za nchi yetu iliyopoteza haki zake kwa kufanya maandamano ya amani.
Madhumuni ya maandamano.
- Kudai muungano ujadiliwe upya na pande zote.
- Kuunga mkono matamko yanayotolewa na wanasheria wetu kwenye mjadala wa katiba.
- Kutoa muamsho kwa jamii na wananchi juu ya kutetea haki za nchi na taifa letu – Zanzibar.
Petition itakuwa na ujumbe ambao ni open letter itakayo beba ujumbe mmoja wa madai yetu kwa sehemu zote zitakazofanyika maandamano.
Siku ya Maandamano.
Maandamano yamepangwa kufanyika siku ya Ijumaa tarehe 1/04/2011. Ijumaa ni siku ya mwisho wa wiki, itakuwa muafaka kwa Wazanzbibar wengi kuweza kushiriki. Vilevile itakuwa ni wiki nne kabla kufanyika sherehe za Muungano hapo 26/04/2011. Wale walioko makazini tunaomba waombe likizo zao mapema ili waweze kushiriki.
Eneo la Maandamano.
Maandamano yatafanyika ulimwengu mzima.
Kitovu cha maandamano haya kitakuwa ni ndani ya Zanzibar, ambapo Petition ya madai yetu itawasilishwa kwa Waziri wa Sheria na Katiba na Mwanasheria Mkuu wa SMZ.
Kwa wale walioko Tanzania Bara, wao watawasilisha Petition yao kwa Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa nchi nyengine dunia, Wazanzibar na Watanzania kwa jumla, watafanya maandamano kwa kila nchi yenye ubalozi wa Tanzania. Petition zitawasilishwa kwa mabalozi wa nchi husika ili kuziwasilisha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambae wakati huohuo anakuwa Rais wa Shughuli za Serikali ya Tanganyika pamoja na Rais wa Zanzibar.
Yanayohitajika
Tunaomba ushirikiano kutoka kwa Wazanzibar wote ulimwenguni kufanikisha shughuli hii. Tunahitaji mawakala wa kusimamia kutoka kila nchi husika. Hii itasaidia kufikisha ujumbe kule tunakokusudia.
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nami kupitia email yangu ashakh@mzalendo.net
NOTE: Msisitizo unatiliwa kuwa haya ni maandamano ya amani, kwa lengo la kudai haki zetu.

Hamjui hata Zanzibar ilikotoka nyie Kizazi cha pili cha watumwa.Wenzenu tulitumia mercernaries kama akina John Okelo na Hanga, kumg'oa mwarabu leo hii mnakula na kustarehe mnaona raha ehe!. Hamna adabu nyie kizazi cha Watumwa, kwa nini msiamue kurudi kwenu DRC Congo, Burundi ambako Tippu Tippu aliwatoa na kuwaleta za Zanzibar kwa mguu toka Ujiji mpaka Bagamoyo. Mnajifanya hamjui kuwa hapo Zanzibar hata nyie hamna hati miliki. Nyie wote Kizazi cha watumwa, mliletwa hapo kwa ajiri ya kilimo cha karafuu na minazi.... najua mnajua (kimoyomoyo) mlikotoka ila hamjui mapinduzi ya Sultan yalifanyika vipi na wala hamjui Akina John Okelo walilipwa sh ngapi baada ya kufanikisha mapinduzi ya hicho Kisiwa na wala Hamjui walilipwa na nani?. Kama mmechoka kufugwa Zanzibar go back to your ancestors ebo!!!!
 
Nonda,

Kwanza si jambo jema kuwatukana watu kuwa ni WATU WAZIMA wakati huko tunafahamu wanaenda Jando kama kawa.

Inabidi useme kuwa ni watu wa MAKAMO. Hapo nafikiri tunaenda pamoja sasa maana wote tumetukana (Kwa maelezo yako).

Kwa sasa Tanzania tuna matatizo ya msingi kuyashughulikia. Wao wanafikiri wakijitenga basi Hela zitatoka Uarabuni ambako na wao sasa wanakaliwa kooni na watu wao. Watakuwa busy kushughulikia matatizo yao na si ya Wazenji.

Kinachoniudhi kama wengi wanavyosema, ni kwao kuzunguka mbuyu. They should stop beating around the bush. Wakiona hawafaidiki na Muungano, basi si waombe tu uvunjwe?

Wasiwasi wangu ni kuwa hawa jamaa, watakuja kuishia kupigana na kuanza kuja kama Wakimbizi Tanganyika. Tutaanza tena kuwagharamia hela nyingi kama Serikali na kama ndugu. Najua utasema "wewe hutafanya" ila ukweli ni kuwa yatakuwa yaleyale ya Comoro. Utasikia tu Rais fulani kapeleka majeshi yake Zenji. Tutaingia gharama kubwa sizizo na miguu.

Kibaya zaidi ni kuwa hao hao wanaolilia na NYONGEZA ya keki kila siku, utakuta ndiyo wamejenga mahekalu yao hapo Dar na pembezoni mwake. Wanatumia vitisho vya kuvunja muungano ili wazidi kufaidi vya bure. Dawa ni Rais mmoja aje na kuwaambia siku moja......."Haya Bandugu, mjipange vizuri na mkishakuwa tayari, baada ya mwaka mmoja mnakuwa NCHI HURU...." Utasikia hapo wanavyoanza kung'aka kuwa hawataki Muungano uvunjwe ila wapewe tu NGUVU zaidi kwenye Muungano.

Nikisikia Muungano UMEKUFA basi itakuwa furaha sana. Kwanza bungeni, CUF hawatukuwepo tena kuibeba CCM. Mzigo wa serikali ya Zenji wataubeba wao. Umeme wetu hatimaye watalipia. Wapemba wengi watarudi kwao na hata wakiwa Dar, basi itabidi walipie VIZA na nyumba pale Dar zitapungua bei na foleni za Dar hawa watu wakiondoka, kwa asilimia fulani zitapungua.

Kuna faida nyingi sana za kuvunja muungano kuliko kubaki nao hawa Watoto wetu wakilialia kila siku utafikiri MENO ya UTOTO yanaota. ZENJI, Grow up guys!!!!!

EAC sidhani kama watataka kuingia tena maana wao watakuwa sehemu ya Muscut sijui au Dubai kama siyo UAE.

Nakubaliana nawe kuwa Watanzania (WATANGANYIKA) mna matatizo mengi ya kuyashughulikia na hivyo Wazanzibari hawana haki ya kuyasema matatizo yao au vipi? Hivyo matatizo nyie mnayo sasa huku Wazanzibari wanayo zamani kabla ya nyie kuamuwa kuwa mna matatizo. Mmeamuwa kuyatafutia dawa matatizo yenu kwa kutaka kuingusha Serikali sasa wazanzibari matatizo yao yamo ndani ya Muungano huoni kuwa ni haki kuwa sote tukatumia njia zinazostahili kuondowa matatizo yanayokabili sehemu mbili (Tanzani au Tanganyika tatizo ni Serikali na Zanzibar ni Muungano )
Kuhusu hofu yako ya kumwagika damu mbona nyie wenyew hamjali damu yenu inayomwagika siku hadi siku, kuanzia Tarime ,Arusha na kwengineko?
Kuhusu hili la kupata fedha kutoka kwa Waarabu angalau zitapatikana lakini si sawa na huu mtindo ulioko sasa, kwa Tanganyika kupita mkaombaomba na huku mnawazuia Wazanzibari wasifanye hivyo. Hamtowi pesa yenu mnadai na kujilabu kuwa Zanzibar ni wategemezi huku tukijuwa kuwa nyinyi wenewe hazikutosheni. Si ingekuwa jambo la busara kuondokana na mzigo huu kama hamtaki Muungano wa haki?
 
Lugha kama hii isingetamkwa na mtu anaejiamini kuwa hakosi kitu kwa kuondokewa na mzigo! Kutunisha mapuwa huko ili tuogope? La tulikwishaanza na Katiba na sasa wananchi ni zamu yao kuwaunga mkono viongozi wao. Tunataka kieleweke kwani Zanzibar haikuja baada ya Muungano na tafuta sababu za Muungano huo jee kulikuwa na sababu yoyote ya kushindwa kujiendesha wenyewe?

Toka lini Zanzibar aliwahi kujiendesha yenyewe?, toka utawala wa Sultan, mwingereza then Tanganyika (12 january 1964 mpaka 26 April 1964 this was a period where Zanzibar was de jure independent). lete data ambazo inaonyesha Zanzaibar inaweza simama. You just go away mnatuletea ghasia, we have nothing to loose zaidi ya hao wanasiasa wanautaka muungano ili walinde maslahi yao
 
Hamjui hata Zanzibar ilikotoka nyie Kizazi cha pili cha watumwa.Wenzenu tulitumia mercernaries kama akina John Okelo na Hanga, kumg'oa mwarabu leo hii mnakula na kustarehe mnaona raha ehe!. Hamna adabu nyie kizazi cha Watumwa, kwa nini msiamue kurudi kwenu DRC Congo, Burundi ambako Tippu Tippu aliwatoa na kuwaleta za Zanzibar kwa mguu toka Ujiji mpaka Bagamoyo. Mnajifanya hamjui kuwa hapo Zanzibar hata nyie hamna hati miliki. Nyie wote Kizazi cha watumwa, mliletwa hapo kwa ajiri ya kilimo cha karafuu na minazi.... najua mnajua (kimoyomoyo) mlikotoka ila hamjui mapinduzi ya Sultan yalifanyika vipi na wala hamjui Akina John Okelo walilipwa sh ngapi baada ya kufanikisha mapinduzi ya hicho Kisiwa na wala Hamjui walilipwa na nani?. Kama mmechoka kufugwa Zanzibar go back to your ancestors ebo!!!!

Kwanza Mtumwa ni mzee wako wa upande wowote. Wewe mwenyew huijuwi Historia la usingewaita watu watumwa. Watumwa walitoka Tabora, Kigoma Mwanza na kwengineko Tanganyika na Wazanzibari walikuwa madalali. Naona uelewa wako wa suala hli ni mdogo sana kijana. Waliofanya Mapinduzi wengi wao walikuwa hao unaowasema wewe na kwa taarifa yako Zanzibar ilikuwa na Washirazi, Watumbatu na machotara ambao hawakuwahi hata siku moja kuwa watumwa. Nenda darasani ukajifunze ili unapoamuwa kutukana matusi hayo yasikurudie mwenyewe1
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom