Tokeni wala, hatuwataki, mkiondoka tu, tunaweka visa, 1000 USD kwa Mzanzibar kukanyaga bongo, tena inakuwa refered visa (visa rejea). Waiteni na wapemba wote walioko Tanganyika warudi kwenu kabla hamjajitenga maana tutawafanya kitu kibaya. Na baada ya hapo mtafanya biashara zenu na Kenya na wala msiote kuwa mtatumia tena soko ka Tanganyika kuuza bidhaa zenu kukuu mnazitoa Arabuni na kuzimwaga Tanganyika na hilo mjue mapema kabisa. Nafikiri bora muungane na Wakikuyu na Wajaruo maana wao ni watu wa shari na migogoro kwa nyie mtaishi vizuri sana, au mwalikeni mwarabu mtawala wenu arudi maana tunajua hamwezi kusimama peke yenu. Tunashindwa kujadili mambo ya muhimu Tanganyika tunabaki kujadili Zanzibar yenye population kama jimbo la Ubungo, hebu ondokeni mnaspoil vision ya nchi yetu.
Ni bora mkoloni mweupe kuliko mweusi ambaye amezoeya kuona damu sakafuniii,,,,na unyonyaji na utawala wa kidictetor,,,waliopindiliwa mwaka 1963 ni wazanzibari,walipindua ni wageni kama hufahamu history ya zanzibar,na ukiangalia wazanzibari halisi hapa zanzbar wana asili ya warabu wote awe mweupe awe mweusii,,,acha kejeli wewe dada au ndio umeshapata toto mwenye asili ya zanzibar mwenye singa singa hakusumbui wakati wa kumsuka nywele ? teh teh tehVunjeni muungano nani anautaka bana tuachieni Tanganyika yetu tupete mnatuzingua tu. Teh teh teh next morning sultani in the house.
Zanzibar Kuna Ubaguzi Mbaya!.
Wabantu wa kule wanaonekana " Eti ni wakuja!". Shauri yao, mimi nawaonea huruma kweli hawa, wakiingia mtego wa kuvunja Muungano watakuja kujuta!. Mtu mweusi kuoa katika nyumba ya Wapemba shughuli!, sasa wakivunja Muungano wasijekujikuta wanasimangwa na kufanywa watu daraja la pili katika nchi yao wenyewe!. ANYWAY MTOTO AKILILIA WEMBE MPE!. ZANZIBAR DAINI NCHI YENU KUTOKA KATIKA MUUNGANO!, LAKINI MUDA SI MREFU MTAIKABIDHI KWA EAC! NA TUTAENDELEA KUPIGANA VIKUMBO MTAA WA SAMORA, THIS TIME WAKIWEMO WAKENYA, NA WAGANDA,WANYARWNDA,WARUNDI KAMA KAWAIDA. LAKINI HAMTAKUWA NA HAKI YA KUMILIKI ARDHI
Tarehe 1/4/ ya kila mwaka ni SIKU YA WAJINGA DUNIANI
Wazanzibari mnachezewa akili hiyo ni siku ni ya wajinga hakuna kitu kama hicho!
Usijali wanguuu,maandamano yatakuwa na kiwango cha mikataifa mungu akipenda,tunaomba ushirikiano wenuu,,,,na kama ulivyosoma maelezo,tunawaomba wale wanaotuunga mkono nchi yeyote basi wawatafute wahusika ambao watafanya maandamano yao ili wawe kama mawakala natuweze kufanikisha hilo.GHIBUU,
..kwa upande wangu naomba maandamano hayo yafanikiwe kwa kiwango cha juu kabisa. tunaomba ujumbe usio na mashaka kabisa uwafikie watawala kwamba Muungano hautakiwi tena na Wazanzibari.
..ninawasihi muwe macho, wako Wazanzibar miongoni mwenu ambao wanataka muungano wa serikali 3. muundo huo wa muungano hauwezi kuisaidia Zanzibar kwasababu bado utayaacha masuala muhimu kama uchumi,fedha,ulinzi,mambo ya nje,uhamiaji etc etc ktk serikali ya muungano. humo katika serikali ya muungano wa-Tanganyika watalazimisha mambo yaende kivyao kutokana na ukubwa wa nchi yao na wingi wa wananchi wake. Zanzibaris will not get what they want and deserve kwa muundo wa serikali 3.
..kama wa-Zanzibari wanataka kuwa na UHURU kamili wa kujiamulia masuala yao na kujiletea maendeleo basi waukatae muungano hata ule wa serikali 3 na badala yake wakajiunge na jumuiya ya Afrika Mashariki.
Zanzibar inataka ijitoe katika muungano ili irudishe mamlaka yake kama nchi huru,hisi sio tatizo kuonana samora hata ujerumani,china,dubai,london,france duniani kote tutaonaa tu,,,,,mbona una hofu mzee, Muungano wa EAC ni bora zaidi mana kila mtu ana taifa lake huru,huo ni muungano wakibiashara sio huu tuliona tanzania,na kama muungano huu ni mzuri kwanini uganda,kenye na congo asijunge katika muungano huu ?
Hebu fikiri kabla hujasemaaaa
GHIBUU,
..tatizo ninaloliona sasa hivi ni kwamba hakuna kiongozi yeyote yule anayedai Zanzibar ijitoe ktk muungano.
..viongozi wote, Maalim Seif included, wanataka muungano wa serikali 3. hata rasimu ya katiba ya CUF inataka muungano wa serikali 3.
..serikali ya Muungano tayari ipo, kinachokosekana ktk muundo wa serikali 3 ni serikali ya Tanganyika.
..ninavyoelewa mimi Zanzibar inahitaji mamlaka zaidi toka serikali ya muungano, siyo kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.
Tena wanakasirika wakiitwa WA TANGANYIKA,wanaona aibu kuitwa wa Tanganyik, ah! nimekosa nini mie Tanganyika!!!!!?.TANGANYIKA nimekosa nini hata watu wangu wa tanganyika hawanidai wala hawanihitaji ?