takashi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 905
- 188
The Union has been by-passed with global events. To me it is no longer necessary strategically for Tanganyika as it was then. Kama partner mmoja anaona anaonewa si ajitoe tu? Hakuna choyo wala wivu, Wazanzibari jitoeni tubaki na Tanganyika na nyie mmbaki na Unguja na Pemba (assuming haitagawanyika tena na tena na tena).
In fact Tanganyika stands to gain more financially Unguja na Pemba zikijitoa kwenye muungano. Just think, mtanunua nyanya kwa USD/EURO, wenye nyumba kariakoo mtakuwa foreigners all of a sudden (kodi tutadai kwa USD/EURO), hamtanunua mchele kutoka Kahama kwa madafu nk. nk. nk.
JAMANI, masuala ya muungano mbona yamo ndani ya uwezo wenu??? Mkisema hata usiku huu kuwa mnajitoa MNAWEZA.
acha upunguani wewe....zanzibar imekewepo kwa miaka mingapi kabla ya muungano? kwanini hamuipendi tanganyika yenu?