Tunaweza kununua hakuna tatizo na dolla na euro zanzbar ni pesa ya kawaida kutokana na utalii kila kona ukipita mzungu huyoo anatumia dola upatikanaji wake sio tatizo,kama vyakula tunaweza kununua popote pale dunia,kuna south africa,zimbabwe,kenya,sio lazima tanganyika,au utakula mwenyewe au unanunua mwenyewe ?
Kijana una ukosefu wa maarifa,hebu fikiri kabla hujasema,kuna vyakula vingi tu kutoka nchi tofauti zanzibar na tanganyia hivi munanunua kwa shilingi au dolla ? Daha kweli watu wengine munahitaji elimu.
Tunaweza kujitoa wakati wowote na ndio tuko kwenye taatibu hizo,,,,,,
Lakini mkuu, hakusema kuwa hawatawauzia hivyo vyakula bali amesema watawauzia kwa 'foreign currences'. Mi nadhani zenj just ijitangaze tu kuwa she is no longer part of the union-badala ya kulalamika tuuuu kama mtoto wa kambo jambo ambalo linawakera watanganyika. Fact ni kwamba most of zanzibaris have been employed ktk taasisi nyingi za tanganyika as residents but none of"purely" tanganyikan hold permanent posts in isles. Watanganyika wanaona kwamba hii imewanyima fursa za kuajiriwa wao kama wazawa(conflict post divorce). Na mwishowe ifahamike kwamba, kulalamika ni reflection ya slave generation kutokana na ukweli kuwa mtumwa alwayz anaona anaonewa,anatengwa,hana haki, hayuko huru, anajawa na aggresive idea, then anapenda kuji-tune ili awe kama mabwana wake hatimaye apate status anayohisi amekosa. Kwa nn mna-publicise image mbaya namna hizi kwa jamii ya wazanzibar?