Wazanzibari wanajua mapenzi kuzidi wa bara??????????

Wazanzibari wanajua mapenzi kuzidi wa bara??????????

wazanzibar si ndio wanaongelea poani like they are very soft? BIG NO for me i dont find them turn-on at all.... samahani kama nimekwaza mtu.....

so what is the moral of the story. U, woman, find another woman dont turn on?
 
walikupa mambo ya upande wa pili nini? Tulia kijana tembea uone
 
swadakta....ni hakika, ni yakini unenayo....wabara hawajui vitu vingi sana, hawajui udi wa mawardi...hawajui mambo mengi sana...mengine ni siri, mengine ni siri........
nipeni nafasi nimsifu mpenzi wangu
kwa sifa halisi kapewa na mola wangu
udi wa mawardi ndio ajifukizao
akitembea viatu havikwaruzi
mengine ni siri, mengine ni siri
 
but why wengine husema hivyo??????

i mean yawezekana wote hawajui wachokizungumza??????

All in all wanaume tuliuoko humu jamvini usiombe ukakutana na mwanamke wa Zanzibar/Tanga aliyewekwa Ndani SABA 3 au Wanawake mlio humu ndani msiombe mkakutana na mwanaume wa kizanzibar au kitanga aliyekaa SABA mbili sijui hii elimu kama kwa sasa inatolewa kama zamani Lakini usiombe ukakutana nao hao na ndio maana narudia tena Mapenzi sio kukatika mauno tu na kungonoana kuna vitu vidogo vidogo vya kitoto ambavyo waweza mfanyia mwenzio na akatamani kukuona kila saa naomba nisifafanue hapa kwani kuna watoto humu ndani

Kwakweli usasa unasababisha tunaikosa hii elimu muhimu
 
Nakumbuka nilifundishwa jinsi ambavyo mwanamke anaweza kutumia kanga kukuvutia mwanaume hapa siongelei kujifunga kiunoni au kuilowanisha maji kwa mwanamke na kuifunga naongelea kanga kuwa kama taulo na jinsi ya kufuta maji baada ya mume kuoga na vipi nitafanya kama mke wangu atafanya hivyo lingine ni kanga kitandani hehehehehehehe naomba nisiingie ndani zaidi lkn huo ni mfano tu samahanini kwa kueleza juu juu.
 
All in all wanaume tuliuoko humu jamvini usiombe ukakutana na mwanamke wa Zanzibar/Tanga aliyewekwa Ndani SABA 3 au Wanawake mlio humu ndani msiombe mkakutana na mwanaume wa kizanzibar au kitanga aliyekaa SABA mbili sijui hii elimu kama kwa sasa inatolewa kama zamani Lakini usiombe ukakutana nao hao na ndio maana narudia tena Mapenzi sio kukatika mauno tu na kungonoana kuna vitu vidogo vidogo vya kitoto ambavyo waweza mfanyia mwenzio na akatamani kukuona kila saa naomba nisifafanue hapa kwani kuna watoto humu ndani

Kwakweli usasa unasababisha tunaikosa hii elimu muhimu

ni vizuri ukamwaga tu......
hapa hapa kila mtu asikie....

wengi tupo curious....
 
so what is the moral of the story. U, woman, find another woman dont turn on?
there is no story hapo dude so moral haipati kani....well..... women dont turn me on.... halafu rudi kwenye topic Kingi we....
 
nhu huku nako wapi NN na NN nini tena kuna ni?
Eeka we siumeona huyo NN anajidai kujifananisha na mimi, yote a anataka Vjj....the problem is .....it is not detachable i would have dhl it to him....
 
mapenzi hayako zanzibar wa bara, yako kwa mtu mwenyewe.
 
ushapelekewa maji yanayonukia pilau na kisosi bafuni nini mkuu?

...mnh, hayasemeki wala 'hayatoshi' kuyaelezea hapa. Inshort, mambo ya pwani (kwa anayeyejulia!) si mchezo wala hayawezekani kuigwa.
 
Mapenzi yanachukua Sehemu kubwa sana ya Maisha ya Mwanadamu inaonekana, Mtu yuko radhi awe mdhaifu katika Mambo yoote Lakini Atafanya kila linalowezekana awe FIT katika hii Idara
 
Eeka we siumeona huyo NN anajidai kujifananisha na mimi, yote a anataka Vjj....the problem is .....it is not detachable i would have dhl it to him....

I'll make the trip to wherever you are, be it Sharjah, Abu Dhabi, Eden, Oman, Dubai, Kuwait, Saudi, Bahrain, etc. just so I can smash that vajayjay. We'll call it a 'NN smashing session'......

By the way, those hindquarters of yours take my breath away especially when you wear spandex....
 
Wewe ni mwalimu mzuri wa kimombo hiyo red nilikuwa sijui!
 
hakuna TX wa mapenzi.. ni ubunifu na busara zako tu!! mengine yote ni kuongeza maaarifa!!
 
Back
Top Bottom