Wewe ukishashiba Fenesi tu kila kitu huoni faida yake.
Mkuu Dhulma za kisiasa,kabla ya huu muungano wa kisiasa,kulikuwapo na muungano wa kijamii baina ya wazanzibar na watanganyika muungano ambao ulikuwa wa kindugu kabisa,siasa imekuja kutugawanyaNdugu zetu Wazanzibari mnataka kutuacha?!!..kwa nini jamani kwanini..
Cha mzanzibari ni chake peke yake, Lakini cha mtu wa Tanganyika ni cha wote, Bunge lao hakuna mbunge toka Tanganyika anasogea, lakini bunge la Tanganyika kuna wabunge kibao toka Zanzibar kuna mapungufu kwenye kubalance Bunge, Pesa za kuendesha muungano zinatoka Tanganyika kwani pato la Zanzibar ni dogo sana haliwezi kulipa hata mishahara ya watumishi wao wenyewe, Pesa zote za kuwatunda na kuwahudumia zinatoka Hazina ya Tanganyika.
ACHA KUWAPIGA CHANGA LA KISOGO....ETI HOJA ILETWE BUNGENI...BUNGE HILI HILI AMBALO LIPO CHINI YA JIWE....!!??/ ETI IUNDWE MAHAKAMA....MAHAKAMA ZENU TU ZOTE REMOTE CONTROL IPO JUMBA JEUPE!!! fala kabisa we jamaa, yaani ni kilaza..BINAFSI NAAMINI WANACHOKITAFUTA WAZANZIBAR WATAKIPATA...rejea mathayo 16:6Kujifurahisha kisheria kwa vijikesi kesi na vijipetition rukhsa, hala hala msije kuwachangisha watu pesa za wakili, kwa sababu hakuna kesi hapo!.
Rejea.
- Tanzania is one country, URT, a sovereign state, hakuna anayeweza kuingilia mambo yetu ya ndani, sio mahakama yoyote ya nje sio UN.
- Muungano wetu ni union, sio federation, tumeungana tumekuwa kitu kimoja, URT, hakuna tena nchi inayoitwa Tanganyika, hakuna nchi inayoitwa Zanzibar, zote zili surrender their sovereignty na kuunda nchi moja ya Tanzania.
- Jamuhuri ya Tanganyika is dead, haiwezi kufufuliwa, na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar pia is dead, haiwezi kufufuliwa.
- Zanzibar iliyopo sio nchi, ni sehemu ya JMT, yenye utawala wake wa ndani, hakuna sehemu yoyote ya JMT, inayoweza kwenda popote, kudai kutaka kujimega toka JMT!.
- Muungano wetu sio wa merger, yaani sio wa kuunganisha, kiasi utasema tutaumega, muungano wetu ni wa fussing, kama chemical reaction ya two chemical zika undergoes a chemical reaction na kuunda a new compound, hakuna tena process ya kuirudisha into its original forms.
- Muungano wetu ni wa milele, zile articles of union, zili provide kuungana tuu na hakuna kuachana!.
- Kwa vile muungano haukufanyiwa ratification kwa upande wa Zanzibar, then jengeni hoja ya kufanya ratification sasa kupitia BLW, ndipo likatae ku ratifying mseme Zanzibar wamekataa.
- Kwa vile muungano ni wa watu, na Zanzibar wana sheria ya kura ya maoni, wawaulize Wanzanzibar, wakisema hawautaki muungano, then watumieni wawakilishi wenu kupitia BLW litoe azimio, mlilete kwenye Bunge la JMT, lijadiliwe, na sisi Tanzania tuulizwe, tukikubali, ndipo sasa itungwe sheria ya kuuvunja muungano, tugawane fito.
- Muungano unaweza kumalizwa kwa kuundwa mahakama ya katiba ndio yenye uwezo wa kuuzungumza muungano wetu na sio UN.
- Kwa vile kiasili Zanzibar, ni sehemu ya Tanganyika/Tanzania iliomegeka miaka mingi nyuma, then ni Tanzania pekee ndie mwamuzi wa mwisho, airuhusu Zanzibar iende au la sio UN.
Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja!. - JamiiForums
Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!. - JamiiForums
Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani? - JamiiForums
P.
Muungano ni wa kulazimisha sana, ni muungano wa kibabe ndiyo maana hata idadi kubwa ya wanajeshi waliopo Zanzibar wanatoka Tanganyika ili kuzuia mapinduzi, waache Zanzibar ijitawale kila mmoja akae kwake, tuwe Nchi Jirani kama Comoro, Madagascar na Nchi zingine.Ukitaka kuujua muungano tatizo nenda kaishi zanzibar ndo utajua.... Kwanini baadhi ya watu hawataki hata kusikia kitu kinaitwa muungano
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukimaza kero za muungano vipi?!..mtabaki na sisi?!Mkuu Dhulma za kisiasa,kabla ya huu muungano wa kisiasa,kulikuwapo na muungano wa kijamii baina ya wazanzibar na watanganyika muungano ambao ulikuwa wa kindugu kabisa,siasa imekuja kutugawanya
Umechanganya, unauma NA kupuliza.Kujifurahisha kisheria kwa vijikesi kesi na vijipetition rukhsa, hala hala msije kuwachangisha watu pesa za wakili, kwa sababu hakuna kesi hapo!.
Rejea.
- Tanzania is one country, URT, a sovereign state, hakuna anayeweza kuingilia mambo yetu ya ndani, sio mahakama yoyote ya nje sio UN.
- Muungano wetu ni union, sio federation, tumeungana tumekuwa kitu kimoja, URT, hakuna tena nchi inayoitwa Tanganyika, hakuna nchi inayoitwa Zanzibar, zote zili surrender their sovereignty na kuunda nchi moja ya Tanzania.
- Jamuhuri ya Tanganyika is dead, haiwezi kufufuliwa, na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar pia is dead, haiwezi kufufuliwa.
- Zanzibar iliyopo sio nchi, ni sehemu ya JMT, yenye utawala wake wa ndani, hakuna sehemu yoyote ya JMT, inayoweza kwenda popote, kudai kutaka kujimega toka JMT!.
- Muungano wetu sio wa merger, yaani sio wa kuunganisha, kiasi utasema tutaumega, muungano wetu ni wa fussing, kama chemical reaction ya two chemical zika undergoes a chemical reaction na kuunda a new compound, hakuna tena process ya kuirudisha into its original forms.
- Muungano wetu ni wa milele, zile articles of union, zili provide kuungana tuu na hakuna kuachana!.
- Kwa vile muungano haukufanyiwa ratification kwa upande wa Zanzibar, then jengeni hoja ya kufanya ratification sasa kupitia BLW, ndipo likatae ku ratifying mseme Zanzibar wamekataa.
- Kwa vile muungano ni wa watu, na Zanzibar wana sheria ya kura ya maoni, wawaulize Wanzanzibar, wakisema hawautaki muungano, then watumieni wawakilishi wenu kupitia BLW litoe azimio, mlilete kwenye Bunge la JMT, lijadiliwe, na sisi Tanzania tuulizwe, tukikubali, ndipo sasa itungwe sheria ya kuuvunja muungano, tugawane fito.
- Muungano unaweza kumalizwa kwa kuundwa mahakama ya katiba ndio yenye uwezo wa kuuzungumza muungano wetu na sio UN.
- Kwa vile kiasili Zanzibar, ni sehemu ya Tanganyika/Tanzania iliomegeka miaka mingi nyuma, then ni Tanzania pekee ndie mwamuzi wa mwisho, airuhusu Zanzibar iende au la sio UN.
Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja!. - JamiiForums
Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!. - JamiiForums
Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani? - JamiiForums
P.
Bunge ni la ccm na baraza la wawakilishi ni la ccm Hao wanataka serekali 2 kuelekea1 .Tujiulize nini? Wao si wanataka kiti, kwanini wasianzie ndani
Wana VP mzanzibar, wajumbe wa NEC-CCM, Bunge n.k. mbona hawafikishi madai yao
Lini umewasikia wakijadili ndani ya baraza la wawakilishi
kura zishapigwa kwa warioba tulitaka serekali 3 ziko wapi ? Na huyo magufuli kashinda tanganyika tu, zanzibar tulimkataa inamaana yeye sio raisi wa muungano kwa sababu kakosa baraka za zanzibar . Kwahio huyo ni raisi wa tanganyika tu.Tuzanzibari tuchache .... ndio tunaleta figisu hizo....kama vp zipigwe kura
.....tuone
Wakishinda hapa wataanza kuidai Dar es salaam, Tanga, Kilwa, na Mombasa zote zilikuwa kwao
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'[/QUOTE
Kama ni sehemu zao na wana usibitisho kuna tatizo gani ?
Amna tatizo mkuu na Mimi nitafurahi nitakuwa ndani ya Zanzibar
Kuna Watu Wanasema Kama Muungano Unafaida Nying Kuliko Hasara Hasa Hasa Kwa Wazanzibar. Lkn Hebu Tujiulize, Kwanin Ukiugusa Tu Muungano Yanakukuta Ya Kukukuta? Rais Jumbe Aliugusa Muungano, Yalimkuta Ya Kumkuta, Masheikh Wa Uamsho Nao Waliugusa Muugano, Nao Yanawakuta Ya Kuwakuta. Kama Muungano Unawafaidisha Wazanzibar Mbona Wakiujadili Yanawakuta Mabalaa? Jee, Huu Muungano Unawafaidisha Wazanzibar Au Watanganyika?Kujifurahisha kisheria kwa vijikesi kesi na vijipetition rukhsa, hala hala msije kuwachangisha watu pesa za wakili, kwa sababu hakuna kesi hapo!.
Rejea.
- Tanzania is one country, URT, a sovereign state, hakuna anayeweza kuingilia mambo yetu ya ndani, sio mahakama yoyote ya nje sio UN.
- Muungano wetu ni union, sio federation, tumeungana tumekuwa kitu kimoja, URT, hakuna tena nchi inayoitwa Tanganyika, hakuna nchi inayoitwa Zanzibar, zote zili surrender their sovereignty na kuunda nchi moja ya Tanzania.
- Jamuhuri ya Tanganyika is dead, haiwezi kufufuliwa, na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar pia is dead, haiwezi kufufuliwa.
- Zanzibar iliyopo sio nchi, ni sehemu ya JMT, yenye utawala wake wa ndani, hakuna sehemu yoyote ya JMT, inayoweza kwenda popote, kudai kutaka kujimega toka JMT!.
- Muungano wetu sio wa merger, yaani sio wa kuunganisha, kiasi utasema tutaumega, muungano wetu ni wa fussing, kama chemical reaction ya two chemical zika undergoes a chemical reaction na kuunda a new compound, hakuna tena process ya kuirudisha into its original forms.
- Muungano wetu ni wa milele, zile articles of union, zili provide kuungana tuu na hakuna kuachana!.
- Kwa vile muungano haukufanyiwa ratification kwa upande wa Zanzibar, then jengeni hoja ya kufanya ratification sasa kupitia BLW, ndipo likatae ku ratifying mseme Zanzibar wamekataa.
- Kwa vile muungano ni wa watu, na Zanzibar wana sheria ya kura ya maoni, wawaulize Wanzanzibar, wakisema hawautaki muungano, then watumieni wawakilishi wenu kupitia BLW litoe azimio, mlilete kwenye Bunge la JMT, lijadiliwe, na sisi Tanzania tuulizwe, tukikubali, ndipo sasa itungwe sheria ya kuuvunja muungano, tugawane fito.
- Muungano unaweza kumalizwa kwa kuundwa mahakama ya katiba ndio yenye uwezo wa kuuzungumza muungano wetu na sio UN.
- Kwa vile kiasili Zanzibar, ni sehemu ya Tanganyika/Tanzania iliomegeka miaka mingi nyuma, then ni Tanzania pekee ndie mwamuzi wa mwisho, airuhusu Zanzibar iende au la sio UN.
Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja!. - JamiiForums
Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!. - JamiiForums
Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani? - JamiiForums
P.
Pengine maswali hayo hayo uliyoyauliza kuhusu Zanzibar tujiulize na sisi Tanganyika vivyo hivyo kwa nini imekuwa hivyo.
Ukiona moshi unatoka ujue chini kuna moto!Wazanzibari chokochoko haziishi.
Amueni moja na muwe serious.Sio staki nataka,siku zinaenda