Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,464
- 34,281
Tujiulize nini? Wao si wanataka kiti, kwanini wasianzie ndaniPengine maswali hayo hayo uliyoyauliza kuhusu Zanzibar tujiulize na sisi Tanganyika vivyo hivyo kwa nini imekuwa hivyo.
Wana VP mzanzibar, wajumbe wa NEC-CCM, Bunge n.k. mbona hawafikishi madai yao
Lini umewasikia wakijadili ndani ya baraza la wawakilishi