HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,880
- 5,881
Kuna wakati unabidi ukubali kumuachia aende,Zanzibar haijawahi kuwa muhimu kwa Tanzania bara kwa kitu chochote kile.
Wana bahar na nyinyi mnayo, hamtafuti madini, mafuta, chakula sasa si muwaache watibuane wenyewe kati ya Unguja na Pemba?
Hizi hoja sijui wanabanwa na Muungano zijibiwe kwa kuwaacha kivyao kama Sudani Kusini walivyoachwa wenyewe na hata yanayoendelea huko hayawaumizi Khartoum kabisa ila wale waliowatuma na kuwapa kiti chao UN.
Wapeni Zanzibar kisiwa chao na waambieni wafungashe kurud kwao wakajenge nchi yao huko kwani nyinyi bara mna kila kitu sasa woga wa nini? Kama mnahofia usalama hawa watu ni wepesi sana na hawawezi kuwa tishio kwa namna yoyote ile.
Sent using Jamii Forums mobile app