IHOLOMELA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,807
- 1,677
Naunga mkono hoja.Ifike hatua tukaachie kanchi kaende kwani tuna hasara gani? Badala ya kujadili mambo ya msingi tunakaa mara oo bara wa Airtel Tigo,na Voda, sisi tuna zantel tu, ni upumbavu
Naunga mkono hoja.Ifike hatua tukaachie kanchi kaende kwani tuna hasara gani? Badala ya kujadili mambo ya msingi tunakaa mara oo bara wa Airtel Tigo,na Voda, sisi tuna zantel tu, ni upumbavu
Hata mie naunga mkono hoja. Bora tuachane tuheshiniane. Watakaomuia zaidi ni Wapemba maana wamewekeza sana Bara ila waunguja hawana cha kupoteza. Huku bara wapemba tuwape vibali vya ukazi tu tupate mapatoUkikataliwa penzi usibake!!
Kwanini tusiwaache waishi maisha yao, naona huu muungano sisi wa bara ndio km tunaufosi vile.
Mhola gukuHaya
mwanza kwetu
Kwamba Znz yenye uchumi mdogo kuliko Mkoa mmoja wa bara inanyonywa na Tanganyika! Kwamba, kwa GDP na Bajeti ya znz mtu anakwenda kuiba nini? Bill ya umeme hawawezi, halafu wananyonywa! Fikiria mkazi wa Ilala au Muheza Tanga analipa bill ya Umeme kila mwezi, SMZ haiwezi! hadi isemwe tena ipewe miaka 2 ya kulipaSababu hazijabadilika sababu nihizohizo umekua ukiziruka tu.
Sawa bwana njaa, msaka UdcKujifurahisha kisheria kwa vijikesi kesi na vijipetition rukhsa, hala hala msije kuwachangisha watu pesa za wakili, kwa sababu hakuna kesi hapo!.
Rejea.
- Tanzania is one country, URT, a sovereign state, hakuna anayeweza kuingilia mambo yetu ya ndani, sio mahakama yoyote ya nje sio UN.
- Muungano wetu ni union, sio federation, tumeungana tumekuwa kitu kimoja, URT, hakuna tena nchi inayoitwa Tanganyika, hakuna nchi inayoitwa Zanzibar, zote zili surrender their sovereignty na kuunda nchi moja ya Tanzania.
- Jamuhuri ya Tanganyika is dead, haiwezi kufufuliwa, na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar pia is dead, haiwezi kufufuliwa.
- Zanzibar iliyopo sio nchi, ni sehemu ya JMT, yenye utawala wake wa ndani, hakuna sehemu yoyote ya JMT, inayoweza kwenda popote, kudai kutaka kujimega toka JMT!.
- Muungano wetu sio wa merger, yaani sio wa kuunganisha, kiasi utasema tutaumega, muungano wetu ni wa fussing, kama chemical reaction ya two chemical zika undergoes a chemical reaction na kuunda a new compound, hakuna tena process ya kuirudisha into its original forms.
- Muungano wetu ni wa milele, zile articles of union, zili provide kuungana tuu na hakuna kuachana!.
- Kwa vile muungano haukufanyiwa ratification kwa upande wa Zanzibar, then jengeni hoja ya kufanya ratification sasa kupitia BLW, ndipo likatae ku ratifying mseme Zanzibar wamekataa.
- Kwa vile muungano ni wa watu, na Zanzibar wana sheria ya kura ya maoni, wawaulize Wanzanzibar, wakisema hawautaki muungano, then watumieni wawakilishi wenu kupitia BLW litoe azimio, mlilete kwenye Bunge la JMT, lijadiliwe, na sisi Tanzania tuulizwe, tukikubali, ndipo sasa itungwe sheria ya kuuvunja muungano, tugawane fito.
- Muungano unaweza kumalizwa kwa kuundwa mahakama ya katiba ndio yenye uwezo wa kuuzungumza muungano wetu na sio UN.
- Kwa vile kiasili Zanzibar, ni sehemu ya Tanganyika/Tanzania iliomegeka miaka mingi nyuma, then ni Tanzania pekee ndie mwamuzi wa mwisho, airuhusu Zanzibar iende au la sio UN.
Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja!. - JamiiForums
Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?!. - JamiiForums
Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani? - JamiiForums
P.
Mkuu nafikiri umeathirika kidogo na malezi ya ki CCM ya kumsifu Mwalimu Nyerere na Mzee karume. Hulaumiki wengi tumekulia mazingira hayo.
Karumu alikua ni Dictator wakiwango cha juu kabisa.
Alipoteza wanasiasa wingi tu waliojaribu kumkosoa au kuwahisi yeye mwenyewe tu kama ni tishio kwake.( Kassim Hanga, Twala, Mdungi Ussi, Jimmy Ringo, Sadalla, Othman Sharif) hawa karibu wote waliwah kuwa mawaziri. Babu alinusurika chupu chupu.
Alikua akilala na mwanmke anaetaka kinguvu kihiari, makuwadi wakiranda mitaani kumtafutia wanawake tena hata kama unamume ukishaambiwa unaitwa na mzee ndio uwende tu.
Maisha ya Zanzibar wakati wa utawala wake labda ukutane na wazanzibari wenyewe tu walioishi kipindi hicho ndio watakaoweza kukueleza viuri kwa ufasaha.
Watu waliishi na khofu kubwa mno, humalizi wiki unasikia jirani kakamtwa, au jirani kapotea.
Kuifupi jamaa hakua na mfano. Kiufupi Jiwe mchumba tu.
Ndio maana daima munakua maskini kwa kuamini akina wapiga dili ficiem lukuvi ,bashite na mzee wa jiwe gumu, sio kila wanachoongea akina lukuvi kuwa ni kweli,( fisiem ) NDIO MAANA MPAKA LEO HALI NI NGUMU KITAA KWASABU YA KUWAAMINI FISIEM
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa bwana njaa, msaka Udc
Unadhani kama hajaramba miguu ya pale lumumba UDc ataupata wapi? mpapasa mabichwa ya mjusi kafiri.Maneno yenu hayo mkichukia baada ya kuambiwa ukweli.
Wewe hujui kitu,zanzibar ni ndogo kiuchumi ila subiri uchaguzi uone vifaru na mizinga yote ya tanganyika inawasili zanzibar kuliko mkoa wowote wa tanganyika kuja kupindua maamuzi ya wazanzibar.Kwamba Znz yenye uchumi mdogo kuliko Mkoa mmoja wa bara inanyonywa na Tanganyika! Kwamba, kwa GDP na Bajeti ya znz mtu anakwenda kuiba nini? Bill ya umeme hawawezi, halafu wananyonywa! Fikiria mkazi wa Ilala au Muheza Tanga analipa bill ya Umeme kila mwezi, SMZ haiwezi! hadi isemwe tena ipewe miaka 2 ya kulipa
Hivi unaweza kukamua jiwe ukitaraji maziwa!
Je, hiyo ni sababu ya kusema Zanzibar inanyonywa kiuchumi. Hebu soma mada na majibu kwanza. Mwenzako kasema sababu ni zile zile za znz kuonewa kiuchumi, nikamuuliza kwa uchumi upi?Wewe hujui kitu,zanzibar ni ndogo ila subiri uchaguzi uone vifaru na mizinga yote ya tanganyika inawasili zanzibar kupindua maamuzi ya wazanzibar.
Watakao umia zaidi ni watanganyika maana wanategemea mbeleko ya muungano,zanzibar ina kila kitu chake,zindukaHata mie naunga mkono hoja. Bora tuachane tuheshiniane. Watakaomuia zaidi ni Wapemba maana wamewekeza sana Bara ila waunguja hawana cha kupoteza. Huku bara wapemba tuwape vibali vya ukazi tu tupate mapato
Naona unazidi kuchanganyikiwa,hii bara ni nchi gani?Je, hiyo ni sababu ya kusema Zanzibar inanyonywa kiuchumi. Hebu soma mada na majibu kwanza. Mwenzako kasema sababu ni zile zile za znz kuonewa kiuchumi, nikamuuliza kwa uchumi upi?
Labda nikupe taarifa tu, katika wizara za muungano, znz ikipewa moja tu haiwezi
Kwa mfano, ulinzi na usalama bajeti yake ni karibu sawa na ya znz , kitabaki nini?
Muulizeni Salim Amour mishahara ya wafanyakazi wa SMZ ilitoka wapi
Halafu usisahau kuna 4.5% ya uchumi wa bara inapelekwa znz , ikichangia 0 katika muungano
ZNZ ilitaka kuwa na biashara za nje, JK akasema ruksa. Leo wanalilia soko la sukari na maziwa bara
Kwanini wasiuze somalia na Eritrea au Comoro na Kenya
Hata katika soko la ajira, wzn walioko bara na walioajiriwa katika taasisi za muungano , zisizo za muungano, sekta binafsi ni wengi kuliko ajira zote za SMZ
ZNZ ya pembe za ndovu kutoka bara, karafuu na watumwa si znz ya leo
Hata utalii, bara wakiweka kauzibe hakuna kitu znz. Watalii wengi wanaokuja znz hufikiri kwanza bara na znz ni sehemu tu ya mapumziko
Kama kuna sababu nyingine sioni tatizo, lakini kuzungumzia uchumi wa ''tembo na sungura'' ! usinchekeshe
Iliyoungana na znz teh teh tehNaona unazidi kuchanganyikiwa,hii bara ni nchi gani?
Tatizo unauchukua uchumi wa tanzania ambao zanzibar imo halafu unauleta hapa,lete uchumi wa tanganyika tujadili hoja hapa.Iliyoungana na znz teh teh teh
Nilidhani utajibu hoja hata moja, hakuna. Suala la uchumi limefika mwisho, hakuna hoja
Hebu nenda kasome kauchumi ka znz halafu uje utueleze 'kinaibiwa kitu gani'
ZNZ inachangia nini katika huo uchumi wa Tanzania? Hapa si maanishi muungano, nina maana uchumiTatizo unauchukua uchumi ambao ni wa tanzania ambao zanibar imo halafu unauleta hapa,lete uchumi wa tanganyika tujadili hoja hapa.
Afadhali zanzibar inachangia kwa jina,lete ushahidi wa tanganyika inachangia nn kwenye uchumi wa tanzania.ZNZ inachangia nini katika huo uchumi wa Tanzania? Hapa si maanishi muungano, nina maana uchumi
ZNZ imo Tanzania ni kweli, hebu tueleze katika huo uchumi iliyomo inachangia nini.
Inaweza kuwemo kwa jina unless uniambie nini inachangia nini
Imebeba muungano asilimia 100%Afadhali zanzibar inachangia kwa jina,lete ushahidi wa tanganyika inachangia nn kwenye uchumi wa tanzania.
Ndio pale nikakwambia unazidi kuchanganyikiwa,tanganyika haipo ni vipi itachangia kwenye muungano?nikikuuliza bara ndio nn hutaki kujibu.Imebeba muungano asilimia 100%
Imebeba madeni ya nchi asilimia 100%
Inatoa ajira kwa wznz kwa asilimi nyingi kuliko SMZ
Inalipa sehemu ya uchumi wake (4.5%) kwa kisingizo cha BoT. Yaani uchumi wa bara ukikua ndivyo znz inapata mgao. Haina maana uchumi wa znz ukikua kuna mchango katika uchumi wa Tanzania
Inatoa ardhi kwa wznn na inagharamia huduma za wznz waishio bara asilimia 100 bila ubaguzi
Orodha inaendelea hadi kesho saa 10 jioni ndipo itakamilika, kwasasa hayo machache yanatosha
Tueleze znz inachangia nini
Tanganyika ndiyo Tanzania kwa maana ya kwamba ndiyo imebeba muunganoNdio pale nikakwambia unazidi kuchanganyikiwa,tanganyika haipo ni vipi itachangia kwenye muungano?nikikuuliza bara ndio nn hutaki kujibu.