takashi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 905
- 188
wazenji wanataka maslahi yao. huo upumbavu wa bara zenji hautakiwi. wewe umeona wapi nchi tangu ipate uhuru mpaka leo raia wake wanahangaika na maji umeme na huduma kama hizi. mmetiwa upumbavu kiasi ambacho wazanzibar wakidai haki zao mnawaona wakorofi. wele wameaka kisiasa. nyinyi endeleeni kufuga mafisadi ,watu wanaiibia serekali watu mmelemaa tu. ingieni mtaani . mpaka leo mnatapeliwa na na kampuni hewa. zanzibar wamesha ona mbali , hou muungano haumnufaishi mzanzibar yeyote balaa tu. kila mtu aangalie maslahi yake . hakuna muungano wala nini. tumechoka . kutiana ukuba tu.Unajua ndugu zetu wa visiwani ifike hatua waache kutiwa ujinga na wanasiasa waroho wa madaraka...hivi milishawahi kujiuliza wabara wanapata nini kutoka kwenu hadi mlinge kiasi hicho??? Binafsi sijaonja hata ndululu kutoka visiwani sana sana najionea shida tu kila kukicha oo muungano unakasoro mara oo mafuta yetu nyie vipi kwani mmhh??!!!
Kama noma na iwe noma bwana wakati mwingine mnakera sana...tumewapa kila kitu serikali mnayo sasa kitu gani maana kama kulalamika tungeanza sisi kwa kudai serikali yetu cha kushangaza kila siku nyue...mi nawahakikishia suala la muungano linakuzwa na wanasiasa wachache wenye hila chini ya ulamaa mmoja simtaji kisa CCM inapata nguvu kwasababu ya huku na wakiwa pekee yao basi njia ya ikulu nyeupe....watu wengine na pasua kichwa kabisa msiwafuatishe bwana...muungano oyee!!!!!!!!