WaZanzibari kutokusheherekea Siku ya Muungano.

Kitu kinachouma zaidi kuna mashirika na idara nyingi ambazo zinatambulika ni za Tanzania lakini hukutii mzanzibari ata mmoja na jambo jengine wazanzibari ni waislam sasa inakuwa ni ngumu kupata ajira huku bara ambako sehemu nyingi zimedhibitiwa na wakristo ambao ni wadini sana huwa hawaangalii uwezo wa mtu huangalia zaidi dini i.e.huyu muislam akija apa swala tano na mambo mengine kama hayo,angalieni TGFA.
 
Is it?
Hebu tupe na mifano ili tuanze kufuatilia kwa karibu tushinikize kurekebisha hii hali.
 
WOS mimi kama muislamu wa bara kupata kazi zanzibar ni vigumu wako radhi kumpa mkenya.Kazi huku bara ambazo hazihusiani na muungano offcoz priority ya kwanza atapewa mbara.
 
WaTanganyika wanaona aibu kujiona ni Watanganyika hivyo wanang'ang'ania kuwa waTanzania wanasahau kuwa huwezi kuwa Mtanzania kama si Mtanganyika ila Mzanzibari anajilabu kuwa ni Mzanzibari na kunazuka kutoelewana unapomwita Mtanzania.
 
Huu muungano mbona nikama sisi wabara ndio tunautaka zaidi? Upande wa pili ukisoma comments zao nyingi hapa hawautaki,itabidi tufike mahali ifanyike kura ya maoni huko zenj na kama wengi hawataki tuuvunje tu.
 
WOS mimi kama muislamu wa bara kupata kazi zanzibar ni vigumu wako radhi kumpa mkenya.Kazi huku bara ambazo hazihusiani na muungano offcoz priority ya kwanza atapewa mbara.
Mimi binafsi ninao marafiki kadhaa wazanzibari tena waislamu na wamepata kazi tena nzuri tu bara..katika nafasi ambazo wala siyo za Muungano.Ndiyo nikashikwa na butwaa kusikia ati WaZNZ hawapati kazi bara kwa vile ni waislam!
 
Unajua ndugu zetu wa visiwani ifike hatua waache kutiwa ujinga na wanasiasa waroho wa madaraka...hivi milishawahi kujiuliza wabara wanapata nini kutoka kwenu hadi mlinge kiasi hicho??? Binafsi sijaonja hata ndululu kutoka visiwani sana sana najionea shida tu kila kukicha oo muungano unakasoro mara oo mafuta yetu nyie vipi kwani mmhh??!!!

Kama noma na iwe noma bwana wakati mwingine mnakera sana...tumewapa kila kitu serikali mnayo sasa kitu gani maana kama kulalamika tungeanza sisi kwa kudai serikali yetu cha kushangaza kila siku nyue...mi nawahakikishia suala la muungano linakuzwa na wanasiasa wachache wenye hila chini ya ulamaa mmoja simtaji kisa CCM inapata nguvu kwasababu ya huku na wakiwa pekee yao basi njia ya ikulu nyeupe....watu wengine na pasua kichwa kabisa msiwafuatishe bwana...muungano oyee!!!!!!!!
 
Kitu kinachouma zaidi kuna mashirika na idara nyingi ambazo zinatambulika ni za Tanzania lakini hukutii mzanzibari ata mmoja na jambo jengine wazanzibari ni waislam sasa inakuwa ni ngumu kupata ajira huku bara ambako sehemu nyingi zimedhibitiwa na wakristo ambao ni wadini sana huwa hawaangalii uwezo wa mtu huangalia zaidi dini i.e.huyu muislam akija apa swala tano na mambo mengine kama hayo,angalieni TGFA.

Tanzania bara ni mostly watanganyika. Population ya Tanzania bara ni 35 million ya zanzibar ni kama 1 million. sasa wewe unategemeamtakuwa majority kwenye maofisi tanzania bara? Huko zanzibar kuna wabara wengi zaidi a wenyeji maofisini? Na unadai udini unaweza kuthibitisha hilo? bara si kuna dini zote kuanzia wakristo na hata waislamu kama visiwani? Na kwa taarifa yako Tz waislamu 35% wakristo 30% kwa hiyo hata kama asilimia hazi toautiani sana bado waisalamu wanazidi wakristo na usiseme ni kwa sababu ya visiwani kwa sababu population ya visiwani ni ndogo sana kufanya mabadiliko makubwa kwenye uwiano wa taifa la watu 35 milioni.
INAELEKEA UNAONGEA ZAIDI KWA KUHISI NA SIYO KUTOKANA NA USHAHIDI ULIOPO.
 
Ila mimi kubwa linaniuma ni kwa nini kuna tofauti kubwa sana kati ya mishahara ya wafanyakazi wa SMT na SMZ?

As long as hii ni nchi moja basi SMT ingetoa fungu kuziba hii tofauti..maana wote ni nchi moja na Bara wana uchumu mkubwa na watu wengi!!

Yaani ukiwa Mtanzania sekta ya umma Pemba au Mbinga basi mshahara uwe ni mmoja!

Wazanzibari wanadai nchi si moja.mbona ina serikali yake,wimbo wa taifa na bendera.usitake kutwisha mzigo kwa bara.are u a realy grat thinker brother
 
Ila mimi kubwa linaniuma ni kwa nini kuna tofauti kubwa sana kati ya mishahara ya wafanyakazi wa SMT na SMZ?

As long as hii ni nchi moja basi SMT ingetoa fungu kuziba hii tofauti..maana wote ni nchi moja na Bara wana uchumu mkubwa na watu wengi!!

Yaani ukiwa Mtanzania sekta ya umma Pemba au Mbinga basi mshahara uwe ni mmoja!

Kwenye mambo kama mafuta ni ya zenji tu lakini kwenye mishahara iwe sawa kwa wote? Na kwanza SMT na SMZ ni two different entities zitakuwaje na mishahara sawa? SMT nchi nzima na SMZ ni zanzibar tu sasa mishahara iweje sawa?
 
lamba,

Haya ni mawazo yangu: ikiangalia France wana Mountinique Islands kule

Carebian, na Paris ziku zote hutoa fungu kusupport budget ya hivi visiwa!

Hii ndo spirit nzuri ya Muungano..ili iwe rahisi kwa Mtu wa Visiwani pia kusikia yeye ni Mtanzania.

Naongelea zile Wizara ambazo sii za Muungano kama elimu, afya n.k!

Hujui unachoongea wewe. Kuna sehemu nyingi tu duniani mishahara inategemea unapoishi. Tena mimi ninapendekeza mishahara iwe inapangwa na ofisi ya mkuu wa wilaya. Nukta.
 
Kitu kinachouma zaidi kuna mashirika na idara nyingi ambazo zinatambulika ni za Tanzania lakini hukutii mzanzibari ata mmoja na jambo jengine wazanzibari ni waislam sasa inakuwa ni ngumu kupata ajira huku bara ambako sehemu nyingi zimedhibitiwa na wakristo ambao ni wadini sana huwa hawaangalii uwezo wa mtu huangalia zaidi dini i.e.huyu muislam akija apa swala tano na mambo mengine kama hayo,angalieni TGFA.

Wewe acha kuleta Udini wako huku..ala!
 
WaTanganyika wanaona aibu kujiona ni Watanganyika hivyo wanang'ang'ania kuwa waTanzania wanasahau kuwa huwezi kuwa Mtanzania kama si Mtanganyika ila Mzanzibari anajilabu kuwa ni Mzanzibari na kunazuka kutoelewana unapomwita Mtanzania.

Wewe umeanzisha thread ya kichochezi na umekaa pembeni kuona wmelekeo, halafu unarudi tena kumwagia mafuta zaidi .. bure kabisa!
 
Simwoni Karume kwenye sherehe, na alitegemewainawezekana haya yakwa ya ukweli?
 
Siku hizi Karume na Kikwete picha haziendi ,kama mtakumbuka Kikwete alishiriki maulidi ya Salmini akimwacha Mwinyi akizabwa kibao ,vile vile serikali ya Karume imesusa kumuhudumikia Salmini ila Kikwete anatumia uwezo wake na kumsaidia Salmini katika Matibabu yake ambayo yanahusiana nakupoteza nguvu ya macho ,Kikwete ndie anaegharamia gharama za kumtibu Salmini huko Uchina. Karumu ndio hapo alipoanza kununa na Kikwete.
 
Lakini kwa mafao ya wastaafu, Salmin hakustahili kuhudumiwa na SMZ?.....nadhani sasa wazanzibari visa vyenu vimezidi, kama wenyewe kwa wenyewe mnafanyiana hivyo wabaki (watanganyika et al ) itakuwaje?

Nasikia bwana Mwiba Karume leo hakuhudhiria sherehe za muungano au ndio maana ya hii tetesi uliyopost jana?
 
Last edited:
Lakini kwa mafao ya wastaafu, Salmin hakustahili kuhudumiwa na SMZ.....nadhani sasa wazanzibari visa vyenu vimezidi, kama wenyewe kwa wenyewe mnafanyiana hivyo wabaki (watanganyika et al ) itakuwaje?

Nasikia bwana Mwiba Karume leo hakuhudhiria sherehe za muungano au ndio maana ya hii tetesi uliyopost jana?

Hafurahishwi na Maneno ya Uzushi zidi ya Marehemu Baba yake Kuhusu Mungano kuna mengi ni uzushi ambayo yeye binafsi anajuwa. na kama Mzazi wake angekuwa hai leo hii hali isingefika hapa ilipofika.
 
kuna fununu kuwa Kikwete kanuna kwa sababu Karume kazima juhudi zake za kumaliza "mpasuko wa kisiasa" zanzibar kwa kukataa serikali ya mseto hivyo kumfanya Kikwete aonekane mnafiki katika macho ya ulimwengu kwa kauli yake ile aliyoitoa bungeni. lakini "sharubu" ha "mind" wala nini kwa kuwa yeye na mama yake weshajilipa, hawahitaji kitu sasa ....
 
Back
Top Bottom