MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,520
- 1,368
1. Ili kupunguza hizi kelele za Visiwani basi Muungano na visiwani uvunjike na we thrive for EA Federation kama nchi mbili tofauti yaani SMZ na Jamhuri ya Tanganyika! Na Visiwani wachangie tu ktk EAF kma Rwanda na Burundi!
If we think ktk larger picture..bara kuibeba visiwani ktk EAF it is a liability!
Ni vema kuufikiria Muungano Mkubwa zaidi than huu wa Visiwani yenye idadi kidogo ya watu na uchumi mdogo sana..ila na malalamiko wengi yasiyoisha!
Serikali ya Tanganyika na SMZ kila moja basi ijiunge na EAF kivyake vyake!
Kwa jinsi Muungano sasa ulivyo: it is a liability kwa bara! Ni taabu kweli kiasi maana angalia hata Ushelishali ushiriki wao ktk SADC ni wa shida kwani ni Watu wacheche mno na uwezo wao mdogo!
Visiwani wanashindwa kutambua kwa sasa kuwa nchi ni responsibility na sii tu neema ya misaada kutoka nje!
2. Alternative ingine: basi Iwe nchi moja ya Tanzania yaani SMZ iwe sehemu/province/mkoa ya Tanzania

Last edited: