Leo ndio siku ya uchaguzi wa Rais wa IPU ambapo Dkt. Tulia lazima aibuke mshindi kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,262
9,714
Ndugu zangu Watanzania,

Leo ndio siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kubwa sana kutoka kila pande ya Dunia ,siku ya kuchagua Rais wa 31 wa IPU yaani umoja wa mabunge Duniani wenye wanachama 179. Tayari Dr Tulia ameshatoa hotuba yake siku ya jana iliyoteka nyoyo za wajumbe wote kwa kuamsha shangwe , nderemo,vifijo,hoihoi na furaha ya hali ya juu sana wakati wote aliokuwa akizungumza Dr Tulia. hali hiyo ilitokana na uzungumzaji wake wa kujiamini,lugha safi na iliyoonyoka kama rula, ufahamu wake mkubwa juu ya mambo mbalimbali ya kidunia na changamoto zake na namna ya utatuzi wake pamoja na kujuwa majukumu ya chombo hicho..

Ahadi za Dr Tulia juu ya kile atakachoanza nacho na kufanya punde tu atakapochaguliwa kuwa Rais wa IPU iliwakosha sana wajumbe wote ambao muda wote walikuwa wakishangilia kwa nguvu zote na Tabasamu kali katika nyuso zao huku wengine wakitikisa vichwa kuonyesha ishara ya kumkubali ,kuguswa na hotuba yake na kuwa tayari kumuunga mkono.

Dr Tulia ameelezea juu ya kuhakikisha ushiriki wa watu wa makundi yote wakiwepo wakina mama au wanawake,vijana na makundi mengine ambayo sauti zao zimekuwa hazisikiki,akaelezea masuala mbalimbali ya migogoro inayoendelea Duniani, mabadiliko ya tabia ya nchi,kudumisha demokrasia,haki za binadamu na mengine mengi.

Mpaka muda huu ni suala la muda tu kutangazwa Dr Tulia kuwa Rais mpya wa IPU na kujiandikia Historia ya kipekee kwake binafsi na kwa Taifa letu maana ameshashinda katika mioyo yao wapiga kura.hii ni kutokana na kuungwa mkono kila kona ya Afrika na sehemu mbalimbali Duniani kwote kuanzia EAC,SADC,AU n.k.kwa Hakika Dr Tulia katuheshimisha sana siku ya jana kwa namna alivyotoa hotuba yake kwa umaridadi,utulivu,umakini na uwezo wa hali ya juu sana.

Ametoa hotuba ambayo itaendelea kuwa kama rejea kwa miaka mingi sana katika umoja huo,hatuba ambayo itaamsha ari na morali ya watoto wa kike kujiamini na kuona wana nafasi ya kuwa yeyote katika jamii na Dunia nzima kwa ujumla wake,,hotuba ambayo wajumbe wote watarejea nayo makwao mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo,hotuba ambayo imeonyesha uwezo mkubwa alionao Dr Tulia,kuandaliwa vyema, kujiandaa vizuri na akili kubwa aliyo nayo.ni hotuba ya kihistoria katika bunge hilo,ni hotuba ya viwango iliyopita viwango vyote vya ubora, hotuba yenye mtiririko mzuri na yenye kuvutia.

Ni hotuba ambayo ni lazima utekwe na kuvutiwa kuisikiliza ,ni hotuba iliyompaisha sana Dr Tulia na Taifa letu,ni hotuba ambayo imewamaliza na kuwadhoofisha wapinzani wake ambao siyo saizi yake ukiwapima katika mizani kwa vigezo vya aina zote. Ni hotuba ambayo ilikuwa nzito na yenye ubora wa hali ya juu sana katika Historia ya Bunge hilo na inayomuweka katika nafasi ya pekee yake dhidi ya wenzake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Heading tu imefanya nisisome maelezo mengine..Najua itakuwa pumba
 
Back
Top Bottom