Wazamiaji wa miaka ya 90

Kweli mkuu,,,,mzungu ni mtu bora kabisa,, tena mpenda haki ,,,tofauti na hawa wabaguzi waarabu ,,wachina na wahindi...tena mwarabu ndy katili namba moja kwa MTU mweusi.....
 
Yeah sure ya u-gay ni fasta. Sema ufala wake wanakupeleka kwenye gay society. Hapo ndiyo movie inaanza. Kujaribu kujinasua ni unaharibu mambo yote. Yaani ni shida!
Kweli mkuu kujinasua kutoka kwenye gays society ndy shida...na tayari mtu ameshaonja ulaya,,hapo inabidi jeans aweke pembeni apewe bikini apakuliwe....au aachane na hiyo gay's complain...sasa mbaya zaidi kama kuna mende ameshakupenda na umetoweka ghafla kituoni,,,mende anaweza kukutafuta mji mzima,,akidhani upo kwenye matatizo ,,au umepata mpnz mwingine zaidi yake ,,na yeye anahitaji damu ya shoga la kibantu...ndy hapo mnapokwepana,,yaani ww unajificha mende asikuone na MENDE nae anazidi kuhangaika huko na huko ili akuopate,,hatari sana mkuu...
 
Mkuu huko kuingia mpaka upite ubalozi wa France,wengi wakati wa kwenda hupitia usafiri wa maji.

Kuingia huko mpaka uwe visa ya France, hilo ni miliki yao.
Nimechek wamenielekeza direct France embrasse hata pesa yao huko wanatumia Euro sasa hapa nawaza niwaambieje France kuwa nataka niende kwenye kolon lao Pia njia ya maji n muda mno unakaa kwenye maji sina uhakika kama n boti Au Meli nipe mchongo wa bila passeport inakuaje
 
Mkuu Mimi nimefaidi sana nilipokuwa France,,, hao mayyote wana TV yao kabisa ktk Chanel za France...ni Kama bongo tu mkuu...na kuna programs maalum kwa ajili ya inchi zote zilizo under France territories.... Ni pazuri sana mkuu ,,kuna fursa zote kama upo France... Nadhani kujisogeza kwake pale ni kuitafuta Comoro kwnza halafu Mayotte sio kesi kutoka Comoro.....
 
Kweli mkuu
 
Ni kweli mkuu,,kipindi kile nakumbuka ni inchi nyingi tulikuwa tukiingia bila viza..nakumbuka ni UK...na Hata inchi za Scandinavia,,,Denmark,, Norway,, Finland,, Sweden,, tulikuwa ni free entry... Unanijuwa nini kilisababisha viza?mkuu?ni tamaa zetu wenyewe mkuu,,,na ujinga wetu,,ulisababisha kuanza kuwekewa vikwazo vya viza....
 
acha watu wazamie huko tu ingekuwa ipo bongo hii system hakuna mtu angejisumbua kutafuta kazi..
Mkuu watu wangefanya kazi tu,,,kila kitu ukikizoea kinakuwa cha kawaida tu...mfano ,,swiss mfungwa analipwa Euros 300 kwa mwezi,,,mbona na watu wakifungwa wanasikitika? Tena mtu anatafuta lawyer ili aachiwe....ingekuwa bongo ingekuwaje mkuu? sababu hivyo vitu wameshavizoea mkuu...kazi na job less ni vitu viwili tofauti..
 
Kipindi hicho mkuu ndio Mjomba wangu nae ndio alikuwa anahangaikia makaratasi ilimchukua kama 5yrs mpaka kufanikiwa ila now fresh halafu mbaya zaidi kulikuwa na economic crisis tukawa tunafanya kutoa pesa huku Kumtumia yeye
 
Nimesikia cases nyingi za mabaharia kufake wakaingia Belgium, halafu wakaishia kupelekw kwenye sehemu wanakoishi gays later wanajikuta wanapakatwa kweli
Duh haya maisha mmh
 
Dah!brother umeni inspire sana sijuhi kama hizo njia bado wanatumia na mfumo wenyewe huu wa kierectronic
 
~ kweli hii hata Mimi nimeiona...ni madogo wa miaka 16,18,nakuendelea,wanaroho ngumu sana,napendaga kuangalia documentary za hivi...huwa zinafundisha sana.
 
Kwa kwenda huko France Embassy hutatumia muda mrefu zaidi mpaka ufike Mayotte.

Njia ya kwanza ni kufika Comoro ndio utafute njia ya kufika Mayotte ila sio rahisi kuingia kama udhaniavyo France wanafanya ulinzi kwenye territory zao.Hapa utalipa pesa kidogo ya kuvushwa salama mpaka unaingia Mayotte. Akili kidogo inatakiwa kwenye kujieleza.
Mayote wanongea kiswahili n a lugha zao hivyo utopata shida na kule wabongo wapo.

Pili uende msumbiji ndio upande jahazi za kwenda Comoro au ukibahatisha meli ndogo za kwenda huko.Msumbiji sio Salama sana hata ukipata ndege ya kwenda Mayotte utaishia Airport.
 
Kuna email za USAFIS immigration nimetumiwa niapply visa niende USA Pia na canada wananitumia sana hizo email kipindi cha nyumba nilishawahi kujisajili green card Kwa mwenye kujua mambo hayo anielekeze
 
Watoto wakali nenda Cape verde island ni balaa
 
Sisi sijui tuliwakosea wapi? Kila race haitukubali na sisi nao ndo tunakalishana kweli Yani. Yani inasikitisha Sana. Hivi sisi tatizo nini?
mzee sometime huwa nahs sie waafrica sio binadam wa kawaida yaan dunia nzma sie waafrica TU ndo tupo tofauti (TUNA RANGI NYEUSI)

Cha pili hv kwa nn kila mtu hatupendi yaan tunabaguliwa kila sehem wazungu wahnd wachna wajapan woote watubagua sisi

cha tatu kwa nn hata sisi kwa ss hatupendan ukitaka kuamini kwamba hatupendani bas nenda kaombe kazi kwenye kiwanda cha mzungu ambacho manager wake n mwafrica ahhaaha utashangaa

Cheki viongoz wa africa wanavotawala kama Miungu watu

yaan n rahs mwafrica kumchongea mwafrica mwenzie ilimradi tu asifankiwe
 
Kipindi hicho mkuu ndio Mjomba wangu nae ndio alikuwa anahangaikia makaratasi ilimchukua kama 5yrs mpaka kufanikiwa ila now fresh halafu mbaya zaidi kulikuwa na economic crisis tukawa tunafanya kutoa pesa huku Kumtumia yeye
Yaa mkuu,,,Greece ni balaa,,,
 
Dah umenikumbusha safar yangu ya kuondoka afrca nikiwa na miaka 17 lengo likiwa kwenda ulaya ila nikajikuta napotea njia na kutokea amerca kusini huko Equador nikajikuta nimeingia kwenye bif la wauza unga bila hatia ( nilitolewa kafara) ikabid nikimbilie peru kwa muda baada ya msako mkali niliofanyiwa ili niuwawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…