Tanzania miaka ya 95 kurudi nyuma,,, tulikuwa tunaingia free entry inchi za Scandinavians ,,,na UK,,,na kipindi hicho ilikuwa somalia vita vimepamba moto,, hakukaliki,,,na huko Nigerians nao hawashikiki kwa kusafirisha madawa ya kulevya kila kona,,na hata wahindi na waafrica wengine wasio watanzania ilikuwa njia yao kubwa ni tanzania ,, wananunuwa passport na kutokomea UK au inchi yeyote ambayo tanzania hatutumii viza,,,mbaya zaidi wakikamatwa huko wakibanwa wanasema pasport wamenunuwa tanzania,,,mfano wasomali,,,au wahindi wao walikuwa wakifika UK hawana cha kujieleza zaidi ya kusema mimi ni mkimbizi,,,baada ya kuhojiwa wanasema sisi sio watanzania bali ni wasomali,,,au muhindi na sio mtanzania,,,lakini ,pasport tumenunuwa tanzania,,,,ikawa migrants kibao wanamiminika ulaya,,Canada ,,na UK,,,,,nakumbuka wakati ule passport za Tanzania zilikuwa za picha tu,, ,,,sasa kilichokuwa kinafanyika ni raia wasiokuwa wazalendo kuuza passport zetu kwa wasomali na Nigerians,,wahindi au mataifa mengine,,,, ,nakumbuka pia wakati ule migration hakuna hata computer zaidi ya kuandika jina kwenye daftari,,,basi passport watu wanabandua picha zinawekwa za wahusika wengine,,,hakuna record zozote,,mtu mmoja a naweza kumiliki passport hata 3 majina tofauti,,baadae mtu akitaka haraka ya safari unamuuzia,,,,,,watu wanasafiri tu,,,kipindi kile wahindi wengi sn,,na wasomali waliingia UK na Canada kupitia passport zetu,,,hadi wazungu kuja kushtuka na kutuwekea viza walishaingia wengi sn ULAYA na UK,,mbaya zaidi kuna ambao walikuwa wanapewa passport ofisi za immigration kabisa,,na hawakuwa watanzania,,na hata kiswahili hawajuwi,, zamani ilikuwa unaweza ukapewa passport nyumbani,,, na hata ofisi za uhamiaji hufiki,,,,hilo ndy tatizo lililofanya wazungu watuweke viza,,,maana ilikuwa ni fujo tupu ulaya na UK..na hata. Canada...kuna kipindi nakumbuka kuna wasomali kam 10 walikamatwa JNI airport na passport za Tanzania lakini sio watanzania,,, kuna kiongozi Fulani wa migration alikuwa akiwasaidia kusafiri,,,ni muda kidogo nishasahau mkuu...nakumbuka hata vijana wengi sana wlikwenda UK kipindi kile cha Cuf na mabomu ya Zanzibar,, wengi waliingia UK kwa kisingizio cha vurugu za Zanzibar,,, sababu ilikuwa ni free entry viza,,, ni ticket yako na kula mwewe tu,,,hakuna longo longo,,,sasa nimekuwa very tight.... Kupata viza,,,kama tungekuwa makini kulinda passport zetu basi hadi Leo tungejuwa tunaingia free ulaya,,,kama Malawi ,,,Madagascar,, south Africa,,zipo inchi Fulani Fulani,,hadi Leo ulaya ni free entry,,sababu ya ugumu wa passport zao,,,,