Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,808
- 11,483
Best comment ya thread! Umemaliza. Waje watu washupaze shingo. Wale washenzi wa Afrika ya Kaskazini ni mbwaaa. Sijawahi kuwaona kama wenzetu. Halafu li-mtu kwa kujipendekeza anawaita ndugu ktk imani. My foot! Mimi japo muislam, sina shobo na hawa watesi weupe. Wakati mwingine bora ya wazungu, ubaguzi wao ni very calculated. Ila hawa waarabu ni washenzi sana. Mbaya zaidi hata mamlaka zao za kiserikali huwezi kushinda kesi.Duu...mkuu jamaa alifikaje Mexico wakati hakuwa na passport? na kwa hilo la ubaguzi wa libya nakubaliana na wewe mkuu,,....hadi sasa ni wabaguzi sana Mkuu... Kuna jamaa yng wa kinigeria alishapia hapo,,2016.,hyo njia ya Nigeria,,Niger,,Libya,,Italy..aliishi hapo Libya kwa miezi 6 kabla ya kuelekea Italy anapoishi hadi sasa,,,,,anasema iliwachukuwa masaa 18 kutoka bahari ya Libya hadi kuikuta blue sea,,,bahari ya Italy,,,pia anakwambiya ktk hyo network ya human trafic ni kubwa sana,,,na inaanzia huko nigeria,,senegal niger,,kuna watu wana contacts za jamaa wa libya,,,wanasema wanakusanywa watu zaidi ya 500 au 400 kila mtu atatoa dola zisizopunguwa 1000 halafu wananunuwa boat wanaweka mashine,,,halafu yule boat man,,,anakuwa among migrants nae anakuwa hatoi pesa za usafiri lakini kazi yake ni kuendesha boat ile,,,sasa anakwambiya wanapotoka lazima wawataarifu baadhi ya askani on duty wa libya wa majini ili wawaache watoke eneo la libya,,,,kwani wasipotaarifu na kuwapa pesa ,,jamaa wakiwafukuzia na boat zao ni too speed...anasema wakikamatwa kabla ya kuingie the blue sea,,basi adhabu yao ni kurudishwa Libya,,, na kipigo juu huko gerezani,,pia adhabu yake ni euro 500 kila mmoja ndy unaachiwa huru...tena unapewa simu uwapigie ndugu zako huko walipo wakutumie pesa,,kuna Ethiopians,, Somali,,Nigerians, senegalis na waafrica weusi wengi tu kwnye magereza yao hapo Libya ktk suala ka kukamatwa baharini.,,,,,jamaa anakwambiya sometimes hao migrants wanaona ni bora kujitosa baharini kuliko kukamatwa na askari wa libyakurudishwa Libya,,,jamaa anasemaa hiyo njia mtu akipita na kufika salama Italy,,,basi ni MUNGU tu ametenda,miujiza,,lakini ni nusu kifo njia nzima,,,na anakwambiya hapo Libya kuna kundi la walibya weupe linabaka wanawake weusi Wa Africa,,,, mfano wakiona mwanaume mweusi anaingia chumbani na mwanamke muarabu wa Libya basi hao jamaa Wanakuja,,,na haijulikani wanapewa taarifa na nani,,pengine ni jukumu la kila raia mwarabu mwenye roho ya kibaguzi,,,, kutoa taarifa kwa kundi hilo kuja kuteka watu,,basi anakwambiya wakija wanakupiga na kumchukuwa Dada yao wa kiarabu,,,kama ni mweusi basi atabakwa mbele yako,,huku wewe ukipokonywa Mali zako,,, nilishasema siku moja kuwa mwafrika ni yule mweusi tiiii,,,na sio hawa waarabu wa Africa,,,ni hawa wazungu ndy waliowaweka upande wetu,,,lakini sio wenzetu..kabisa,,,
Kuna msomali mmoja alinieleza namna walivyomlawiti kaka yake huko Libya ktk kutafuta maisha. Hawa watu sodomy ipo in veins.
